Uchochezi wa kidini star Tv ni kwa maslahi ya nani?

Transparence

Member
Sep 23, 2016
22
45
Kwa karibu dakika 10 leo hii nimekuwa nikiangalia mtoa mada start Tv akichambua utawala wa Roma Catholic (upapa na upadri)kwa kupotosha !
1. Je anafanya huu upotoshaji kwa maslahi ya nani?
2. Je start Tv haijui watazamaji wake ni wa madhebu na imani mbalimbali na itakuwa inawagawa?
3. Kanisa na waumini wakiamua kureact si itahatarisha amani ya nchi?
4. Kama ilikuwa lazima mada hiyo kutolea kwa nini wa upande wa pili wasingealikwa just to balance the story and information?

Kipindi bado kinaendelea hata sasa hivi kwa anayetaka kujionea!
 
Adolph hitler jr

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
1,897
2,000
Yaani hii post hata haieleweki hebu quote walau maelezo kidogo yanayoonesha upotoshwaji wewe uko kwenye family ya great thinkers eti...
 
amygdala

JF-Expert Member
Jul 11, 2016
1,080
2,000
achen kujifanya mko sensitive sana na mambo ya kidini....kama unaona kuna sehem wamekosea sema walikokosea na urekebishe kwa kuweka mawazo yako unayoona yako sahihi basi mambo yanakwenda hvyo yan hoja kwa hoja na sio kuja kukuza mambo humu
 
Transparence

Member
Sep 23, 2016
22
45
sasa Kama ni mahubiri ya wasabato kwani wapotoshe?! "kanisa katoliki linamtambua papa kwamba ni Mungu"... huyu ni mwakilishi wa Mungu na papa wa kwanza ni Petro Mwenyewe!Je na wakatoliki wakiomba kipindi kuchambua ya wasabato in such a way what could happen?
Hayo ni mahubiri ya kanisa la masalio(Waadventista Wasabato)Yanarushwa kupitia star tv....Muombe Mungu akupe macho ya Rohoni uweze kuielewa Injili hii TAKATIFU..Ubarikiwe sana..
 
Transparence

Member
Sep 23, 2016
22
45
kwani hamuwezi kupata waumini bila kukashifu madhehebu mengine? Kama watoa mada wanajiamini kwa nini wasingekuwa na watu wa upande wa pili for more clarification kuwa na balanced information!

Amani na umoja wetu wa kitaifa ni muhimu kuliko chochote
 
rodrick alexander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
7,228
2,000
Mungu hakuleta dini dini zimeletwa na binadamu.Dini ya ukweli ni upendo ukielewa hayo wala hautahangaika na watu wanaohubiri chuki dhidi ya watu wenye imani nyingine
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,300
2,000
Kwa karibu dakika 10 leo hii nimekuwa nikiangalia mtoa mada start Tv akichambua utawala wa Roma Catholic (upapa na upadri)kwa kupotosha !
1. Je anafanya huu upotoshaji kwa maslahi ya nani?
2. Je start Tv haijui watazamaji wake ni wa madhebu na imani mbalimbali na itakuwa inawagawa?
3. Kanisa na waumini wakiamua kureact si itahatarisha amani ya nchi?
4. Kama ilikuwa lazima mada hiyo kutolea kwa nini wa upande wa pili wasingealikwa just to balance the story and information?

Kipindi bado kinaendelea hata sasa hivi kwa anayetaka kujionea!

Tuelezee hicho walichopotosha ni kipi ili tukuamini.
 
  • Thanks
Reactions: bbc

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
145,869
2,000
Kwa karibu dakika 10 leo hii nimekuwa nikiangalia mtoa mada start Tv akichambua utawala wa Roma Catholic (upapa na upadri)kwa kupotosha !
1. Je anafanya huu upotoshaji kwa maslahi ya nani?
2. Je start Tv haijui watazamaji wake ni wa madhebu na imani mbalimbali na itakuwa inawagawa?
3. Kanisa na waumini wakiamua kureact si itahatarisha amani ya nchi?
4. Kama ilikuwa lazima mada hiyo kutolea kwa nini wa upande wa pili wasingealikwa just to balance the story and information?

Kipindi bado kinaendelea hata sasa hivi kwa anayetaka kujionea!
Hata hivyo tushukuru Mungu kwakuwa kawasema hao....!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom