Uchochezi kwenye ndoa

Uchochezi kwenye ndoa

hao ndio wanaume Da Sophy pole sana ukiona hivyo kuna mwenzio kaseviwa wife, mm yashanikuta hayo mwanaume kalewa amelala simu inaita kuangalia sweet heart anapiga.
 
Hahahahhaaha, pole sana Shunie
 
Hii ni zaidi ya uchochezi. Nimewaza nikaona kumbe bora ukabaki na mwanaume kama hawara tu maana ukifunga ndoa anakufanyia yaleyale ya kwenye ndoa ya kuzarauliana. Hivi kweli unawezaje kusevu namba ya mke wako kwenye simu yako kwa jina la Dulla Mbabe? Yeye akikusevu kama Faru John utajisikiaje?
Madam acha Utani please! umeseviwa jina gani vile?
nawewe unataka kumsave kwa jina gani vile?
 
Hii ni zaidi ya uchochezi. Nimewaza nikaona kumbe bora ukabaki na mwanaume kama hawara tu maana ukifunga ndoa anakufanyia yaleyale ya kwenye ndoa ya kuzarauliana. Hivi kweli unawezaje kusevu namba ya mke wako kwenye simu yako kwa jina la Dulla Mbabe? Yeye akikusevu kama Faru John utajisikiaje?
Nimecheka sanaaaaaaa
 
du pole sana, ila kuna mambo unamfanyia kibabe
 
Hii ni zaidi ya uchochezi. Nimewaza nikaona kumbe bora ukabaki na mwanaume kama hawara tu maana ukifunga ndoa anakufanyia yaleyale ya kwenye ndoa ya kuzarauliana. Hivi kweli unawezaje kusevu namba ya mke wako kwenye simu yako kwa jina la Dulla Mbabe? Yeye akikusevu kama Faru John utajisikiaje?
Mkuu hapo kwenye bold, hauna tabia za ubabe_ubabe kweli..!?
 
Hii ni zaidi ya uchochezi. Nimewaza nikaona kumbe bora ukabaki na mwanaume kama hawara tu maana ukifunga ndoa anakufanyia yaleyale ya kwenye ndoa ya kuzarauliana. Hivi kweli unawezaje kusevu namba ya mke wako kwenye simu yako kwa jina la Dulla Mbabe? Yeye akikusevu kama Faru John utajisikiaje?
hahhahahhahaha am sorry i had to loughhhhh harddd.. kweli si tabia nzuri kudharauliana.
 
Hii ni zaidi ya uchochezi. Nimewaza nikaona kumbe bora ukabaki na mwanaume kama hawara tu maana ukifunga ndoa anakufanyia yaleyale ya kwenye ndoa ya kuzarauliana. Hivi kweli unawezaje kusevu namba ya mke wako kwenye simu yako kwa jina la Dulla Mbabe? Yeye akikusevu kama Faru John utajisikiaje?
Akinisave faru john ntafurahi najua anakubaru ligi langu maana sifa za faru john siyo za kitoto.
Ila dulla mbabe hapo kwakweli tha is a million dollar question kwanini kakusave hivyo
 
Kama ulivyo chungulia ukaona Dulla Mbabe, badilisha usave Wife
 
Kwa hiyo Dulla mbabe yule bondia???? Ina maana hilo jina linasadifu tabia ya huyo bondia....??
ha hahahahahhaahhaaaaaaaaaaaaaaa jamani si kiu cha kucheka laikini siwezi kuacha kucheka ,, wanaume mnatabia mbaya
 
Umri wangu miaka 32 nimewahi kuona katika simu ya Demu wangu kanisevu "BABUJII" nilichoka mwenyewe...!!
 
Back
Top Bottom