Uchinjaji gani huu? (Video)

Boflo...! Nahisi kama naota vile. Duh Dunian kuna Mambo. Na hivi ni Wahindi nakubali wanaweza fanya hivyo
 
Mungu wangu!!!!!!!!!!!!! Binadamu tumelaaniwa, huu ni ukatili wa hali ya juu na haukubaliki kabisa.
 
Mungu wangu!!!!!!!!!!!!! Binadamu tumelaaniwa, huu ni ukatili wa hali ya juu na haukubaliki kabisa.

Yaani mchinjaji akikosea akamlima panga mshika mbuzi ni hatariii
 
Video ipo kwenye jukwaa la photo! Kumbe ndo mana haifunguki.
 
Huyo mchinjaji ukikutananae yaaani mpitie mbali kabisa. Ana roho ya simba huyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…