Uchimbaji wa visima virefu vya maji

Munu

Member
Jan 8, 2014
26
6
Tafadhali kwa yeyote anayejua au anao uzoefu wa gharama za uchimbaji wa visima naomba anielezee mchanganuo wake akijumuisha na gharama za uchunguzi (surveying) eneo nilipo ni Mbeya km 8 kabla ujafika Uyole barabara kuu ya kutokea Makambako. Vilevile anayejua makampuni ya uchimbaji visima yanayopatikana Mbeya na namba zake anisaidie.
 
Ghalama za uchimbaji wa kisima ni Tshs 120000 kwa mita moja ambapo kwa ghalama hizo utaweKEwa bomba Upvc na pampu na pia ghalama za utafiti ( Survey) ni Tshs 850000 ambapo unapewa na report kabisA

Kampuni ya Uchimbaji inaitwa TAWA WATER PROFFESIONAL NAMBA ZA SIMU NI 0689 150 968
 
Back
Top Bottom