Jifunze jambo kuhusu uchimbaji wa visima

Llio 002

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
1,615
2,031
TAWA WATER PROFFESIONAL

Hicho kisima kinachimbwa kwa mteja wetu maeneo ya Goba, Eneo lina nyumba pamoja na eneo lingine kwa ajili ya kulima mboga mboga.

Tulimfanyia Underground water Survey kwa Tshs 350,000/= na tukapata sehemu sahihi ya kuchimba kisima na maji yalikuwa yapo mita 150.

Tulimchimbia kisima chake cha urefu wa Mita 150 kwa ghalama ya Tshs 85,000/= kwa mita moja ambapo bei inajumlisha bomba pampoja na pampu.

Sasa hivi mteja wetu hayo maji anayatumia kwa kwa matumizi ya nyumbani na pia kwa kumwagilia kwenye shamba Bustani yake bila ghalama za nyongeza.

Hujachelewa ukiwa na uhitaji wa UCHIMBAJI WA KISIMA NA KUFANYA UNDERGROUND WATER SURVEY KWA GHALAMA NAFUU USISITE KUWASILIANA NASI

NB: Kuchimba unaweza kuchimba wakati wowote kipindi cha mvua hakiwezi kukuzuwi kuchimba kisima chako.

0689 150 968
0764 418 248
0625 557 395
IMG-20220416-WA0000.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom