mzamifu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2010
- 6,410
- 3,881
kwa kweli hapo umeamuaI will never put my legs in those rotten places again!!!
kwa kweli hapo umeamuaI will never put my legs in those rotten places again!!!
Mie nikiwa Na stress home huwa naenda makanisa ya kilokole, wana mikesha everyday Kama kule Kwa Gwajima-kawe, Basi nyimbonyimbo Na maombi Yao Plus upepo mwanana Kutoka baharini maana pale ni open space, Maji kibaoo unaoga utakavyo Na kujipumzisha Kwenye majani laini huku ukilindwa Kama rais flan manake walinzi nhu-nha kila kona, basi burudaaaaani...stress kweishaa.. We kaangalie hao watupu ukitoka hapo una-advance stress no2, ukipata kinywaji stress no 3.. Mbona unalo..!!