Uchi au kutokuvaa Nguo

Uchi au kutokuvaa Nguo

MLACHAKE; Siwatetei, lakin wee unafaham sheria za nchi zinasemaje kwenye uendeshaji wa club.?? Walikuwepo watoto hapo, <18?? Unalionaje swala serikali kuruhusu Pombe na sigara kwenye jamii yake huku ikitambua madhara yake?? Unadhan kwanin serikal inategemea kodi kutoka huko zaid??

Kunataarifa kali ilitolewa na serikali wikii hii iliyopita kuhusu hizi clubs. Naelewa TZ hairuhusu striping kama kwa wenzetu wa South Africa
 
Chezea mie weyeeeeeee

QUOTE=U

kwaju;5143428]USTADHI :hail::hail:NJOO NA DODOMA ipo Maisha Club,:msela: Club 84, :msela:N.K. :msela:nk mwenzako wa Star tv hakuamini alijua ni wanaCHUO sasa yatakayokupata 😛eace:tutakusaidia mlango wa kutokea maana vyumba vya malazi hakuna ndio maana panaitwa Night Club asubuhi ugeuze na Basi la kwanza[/QUOTE]
 
siku utaapo mkuta binti yako ndipo mta anza kushituka.mtoto wa mwnzako ni wako pia,acha usemi wa zamani usemao mtoto wa mwenzako ni mkubwa mwenzako akiruka ruka naye.
 
Members,
Sijui ni mimi mwenyewe nakerwa na haya mambo au kuna wenzangu pia mnakereka.

Juzi Ijumaa Jioni Kuna rafiki yangu mmoja amekuja kunitembelea na kunisihi angalau Tutoke twende club ''klabu'' as alikua so strssed in that week angalau apunguze stress kidogo. Binafsi sina tabia ya kwenda club. so nikamkubalia kwa makubaliano ange take all the cost associated with the event.

Tukacahgua kwenda maisha Club, kule VIP section. Niliyokutana nayo sitakuja kusahau maishani mwangu. yaani kuna stage maalum ya mtu mmoja kucheza akiwa uchi amba wadada walikua wanapokezana kucheza kwenye hiyo stage with only their G-string like pants on.

Hii tabia sio hapa maisha Club tu, kuna Mabar mengi wanakua na mtindo wa kucheza uchi usiku.

Kama serikali inajua hili na inalifumbia Macho Basi we are done.
Si ungeenda maasai club ya wazalendo
 
Ulichokiona hakiwezi kuwako jijini kwa kuwa kuta na matofali yanakihitaji .... NI Nyoyo za wana JIJI .... hata wewe kuwa na rafiki anayevutiwa ...ahhhh ...na wewe pia ni sehemu ya mchezo na muwezeshaji wa jiji kufikia hapo!!!!
 
nahisi nimojawapo ya biashara kama nyingine na ujue huo uchezaji wa g string tu ndio unawavutia wengi kwenda huko, halafu kama ulikuwa chini ya miaka 18 ulifanya makosa makubwa kwenda huko, if your above chagua sehemu za kwenda ili usikumbane na kero kama hizo binadamu tuna taste tofauti tofauti na wala msitufundishe jinsi ya kustarehe na kumsingizia mungu kuwa eti tuna angamia, muanze kupiga campain kwanza kwa viwanda vya sigara vinavyosababisha vifo vya watu na cansar kila siku ila watu wengine wanaingiza pesa kupitia hizo sigara sembuse kucheza na chupi hapo jukwaani? kama inakukera starehe hiyo ipotezee kabisa wala usitie mguu, mbona hapo naona naona kama ni chenga tu je umeshajua kuwa tanzania kwa mara ya kwanza imefunguliwa sauna?? hili unalijua?? na ukienda huko si ndio utazimia kabisa?? na tena ni special kwa wazee watu wazima tukikutana huko kila mtu na zake kiingilio 70,000/= kila aina
 
From G-string to Sauna! Kweli Jf ni chiboko. V2 vingine 2naviona humu! Hebu dadafua mkuu, hiyo Sauna ikoje?
 
duniani kwa ujumla kuna mengi yanatendeka kwa mtu wa imani anaweza hata kufikiri kaingia kuzimu au pengine yuko na lusifa. basi mkuu poza moyo usiende tena club baki home na kikombe cha chai na novo yako au kitabu kiakatifu pembeni. Utamaduni halisi wa mwafrika ndo unaelekea kuishia. Ndo maana nikashangaa siku moja watu wakawa wakitetea kiswahili dhidi ya kiingereza kwa sababu eti ni utamaduni wetu. haya hawayoni yako mengi, hata na dini zenyewe zinamaliza uafrika wetu kila siku tunaishia kubaguana na kuchinjana.
 
I will never put my legs in those rotten places again!!!
 
Unanikumbusha jamaa yangu mmoja mtu wa mkoa wa nanihii...kila akiniona alikuwa ananiita hivyo "wa mujini" sasa hiyo pronunciation yake siyo ile ya kuongeza madoido bali ndiyo ilikuwa lafudhi yake rasmi. Haya matamshi banaaa nomaaa sana.

sio mjini bana!hapa ilibidi useme
ukiishi MUJhINI kubali ya MUJhINI!
 
Unanikumbusha jamaa yangu mmoja mtu wa mkoa wa nanihii...kila akiniona alikuwa ananiita hivyo "wa mujini" sasa hiyo pronunciation yake siyo ile ya kuongeza madoido bali ndiyo ilikuwa lafudhi yake rasmi. Haya matamshi banaaa nomaaa sana.
We acha tu!
umeamkaje rafiki yangu?mie nyuki sijambo ndo nimeamka sa hz!
 
wapi The Boss na Nyani Ngabu
ahahahhahhahahah pana chezeya mwanadamu na starehe yake bana!

mastripperz zi mlijuaga ni wazungu tuuu!
wehu wa lap dances na pole dances si zamani tulikuwa twaziona kweny matv na mpka sasa watu wengine bado wanaamini ni uzungu!sasa hawa je?

Wachina,.......Uchina......!:confused2:
 
Mie nikiwa Na stress home huwa naenda makanisa ya kilokole, wana mikesha everyday Kama kule Kwa Gwajima-kawe, Basi nyimbonyimbo Na maombi Yao Plus upepo mwanana Kutoka baharini maana pale ni open space, Maji kibaoo unaoga utakavyo Na kujipumzisha Kwenye majani laini huku ukilindwa Kama rais flan manake walinzi nhu-nha kila kona, basi burudaaaaani...stress kweishaa.. We kaangalie hao watupu ukitoka hapo una-advance stress no2, ukipata kinywaji stress no 3.. Mbona unalo..!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom