Uchawi wa kulogewa kibyongo, busha

Mshana Jr......kuna wale ambao huwa wanabwabwaja juu ya post zako kuwa ni za kufikirika. CLEVERKING na FAIZAFOXY nataka waniambie je tukio lililotokea Huko Mkoani SIMIYu juu ya yule aliyekufa 2013 na baadae kuonekana 2016..,,,,,akiwa hai.


Endelea kutuelimisha mkuu....
 
Niliisikia hii habari leo asubuhi halafu aliyefanya hivyo ni ndugu wa karibu
 
Dah, nshaumia. Maana juzi juzi tu hapa nilienda kwa mganga anipe dawa ya kumpata bibie foxy
 
Kumbe

Waiter Leta Bitter Lemon Na Bapa Ndogo

Zungusha Tena[emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482]
 
Mshana jr. Hii ya kumpatia mtu kibiongo naomba kama unayo maana huyu Anko anaitaji action kidogo ili akili imkae sawa la sivyo atatuendesha sana
 
Mshana jr. Hii ya kumpatia mtu kibiongo naomba kama unayo maana huyu Anko anaitaji action kidogo ili akili imkae sawa la sivyo atatuendesha sana
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mshana jr. Hii ya kumpatia mtu kibiongo naomba kama unayo maana huyu Anko anaitaji action kidogo ili akili imkae sawa la sivyo atatuendesha sana
Halafu tumuite anko kibyongo! Lile komwe je[emoji102] [emoji87] [emoji85] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Akiwa na vyote itapendeza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] itapendeza zaidi.... Anko komwe kibyongo [emoji87] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji102] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…