Waathirika wengi kwenye hili ni wale wapendao sana kwenda kwa waganga kwa ajili ya kupata bahati ngekewa na kupendwa..ukifika pale atakusoma na kukufahamu mtazamo wako hivyo atakutengenezea phantom la kuja kukudhuru mbeleni
Hivi wewe maaluni mbwa koko mgonjwa una nini na mimi ?
Bidada vip tena, mshana jr alishakupa talaka 3, sasa mbona wamfata fata tena?= maluuni
Hiyo maana yake ni aliyefanywa laana. Sasa mimi na Yesu ni nani alifanywa laana kwa mujibu wa imani ya Kikristo?
Duh hii conv kiboko= maluuni
Hiyo maana yake ni aliyefanywa laana. Sasa mimi na Yesu ni nani alifanywa laana kwa mujibu wa imani ya Kikristo?
Bila kuchangia thread za Mshana Jr, unakuwa bado hujakamilika?= maluuni
Hiyo maana yake ni aliyefanywa laana. Sasa mimi na Yesu ni nani alifanywa laana kwa mujibu wa imani ya Kikristo?
Bidada vip tena, mshana jr alishakupa talaka 3, sasa mbona wamfata fata tena?
Bila kuchangia thread za Mshana Jr, unakuwa bado hujakamilika?
Kapate morning grory kwanza. Achana na mambo ya JF asubuhi hii yote.Kama unaweza mjibie, wacha kubwabwaja na kuhororoja bila mpango.
Kapate morning grory kwanza. Achana na mambo ya JF asubuhi hii yote.
Teh! teh! We kiumbe ukichokonolewa kidogo tu unatoka mazima na kupoteza credibility,Hivi wewe maaluni mbwa koko mgonjwa una nini na mimi ?
Jifunze kuwa mwanaume kamiliTeh! teh! We kiumbe ukichokonolewa kidogo tu unatoka mazima na kupoteza credibility,
uwezo wako wa kupambanua mambo ni mdogo sana,next time acha kukurupuka na vistory vyako vya "Bedtime stories"
Kumbe na taarabu unajua kuimba Eeeh! Ndio unatafuta senti hapa JF uingie studio sio? ππππJifunze kuwa mwanaume kamili
Kwanza punguza kujichekeshachejesha bila sababu sio dalili nzuri
Pili usibane sauti na kurembua unapoongea sio dalili njema pia kwa mtoto wa kiume
Tatu usipende kushadadia na kurukia visivyo kuhusu na ambavyo hukualikwa... hii pia si tabia nzuri na ni dalili mbaya sana kwa mtoto wa kiume
Tano credibility yangu kama ipo ipo tu na kama haipo haipo tu....jua yako yasiyo kuhusu yapotezee itakusaidia sana
Mwisho sipangiwi cha kuandika wa kujibu....hiki unachokiita bedtime stories ndio kinacho kuvuta kuja kutoa povu hapa ukitumia muda na mb zako!