Vaislay
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,532
- 1,841
hmmm mtu akiamua kukutafuta sikuhizi anakupa hata ukihama na moyo...na ndio maana kabadili mkoa,fbook,twiter na hivo vingne
hmmm mtu akiamua kukutafuta sikuhizi anakupa hata ukihama na moyo...na ndio maana kabadili mkoa,fbook,twiter na hivo vingne
hmmm mtu akiamua kukutafuta sikuhizi anakupa hata ukihama na moyo...
Lahaulah!,ukome kuchezea wtt wa watu,ningekua mm nina huo uchawi ningenyofoa hicho kifanyio kabisa!
yani ningeupata huo uchawi ndio wangenikoma kabisaaaa!!Dada id yako na comment yako inaonekana utaki ht mizahaa
pengine ungekuwa silaha/bastora nahisi ukitembea nayo unaweza kuua watu,
ni bora ww co mchawi maana ungewakomesha sn.