and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,219
- 39,701
Ipoje hiyo ndugu?4WD unasema uchawi ,
Ukipata Chuma yenye diff lock utasemaje sasa
Sihitaj madini. Nikihitaji nita-GUGUSema option zote zilizopo kwenye hiyo gari ili kama hujui tukupe madini zaidi
Gari chuma hii. Matunzo tu utakaa nayo Sana mpaka uichokeWakuu nikiri nilikuaga na Passo gari ya kiquma Sana Ile basi Julai 2021 niliagiza ndinga yenye 4WD Sasa nikapata safari Dar - Liwale huko. nikakutana na barabara hazielewek kila nikienda gari inatitia aisee nikaweka 4H mwendo mdundo. Nauliza uchawi 4WD Ni nn?
View attachment 2077288
PointGari chuma hii. Matunzo tu utakaa nayo Sana mpaka uichoke
Hizi ni akili za kimaskini za watu wenye uwezo wa gari mojaSedan bye bye. Ni mwendo wa SUV (zenye 4WD)
PoleHizi ni akili za kimaskini za watu wenye uwezo wa gari moja
Vp ikiwa bila 4WD tairi zote hazizunguki?ninachojua mimi kila tairi huwa inazunguka yenyewe pindi ukiweka 4wd
Mmh
Chuma cha Off-roadWakuu nikiri nilikuaga na Passo Julai 2021 niliagiza ndinga yenye 4WD Sasa nikapata safari Dar - Liwale huko nikakutana na barabara hazieleweki kila nikienda gari inatitia aisee nikaweka 4H mwendo mdundo. Nauliza uchawi wa 4WD ni nn? UNYAMA mwingi
View attachment 2077288
Gari ya kazi hiiWakuu nikiri nilikuaga na Passo Julai 2021 niliagiza ndinga yenye 4WD Sasa nikapata safari Dar - Liwale huko nikakutana na barabara hazieleweki kila nikienda gari inatitia aisee nikaweka 4H mwendo mdundo. Nauliza uchawi wa 4WD ni nn? UNYAMA mwingi
View attachment 2077288