Tape measure
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,988
- 3,688
Kwanza niseme mimi nina uelewa mpana wa elimu dunia kuanzia theology, metaphysics na pia nmezunguka sehemu tofauti kwenye bara la ulaya na nchi za Asia hasa China.
Wazungu nao wanatamaduni zao ambazo zina husisha imani kuna wengine wanaamini katika tarehe na siku fulani katika wiki katika kufanya miadi pia wazungu wengine wanaamini katika masaa na vito vya thamani.
Ukikuta mzungu kavaa cheni au pete ya silver au rangi fulani haimanishi kuwa ameshindwa kununua madini ya Tanzanite, Dhahabu nk. Ni kuwa anaamini nyota yake inaendana na rangi ya madini husika fuatilia wahindi utagundua hii tamadani wanaishi nayo.
Kuna dada amekuwa akinifuatilia mara nyingi nimemuota ndotoni ananiambia maneno fulani na kweli nikikutana nae siku inayofuata kwenye real world ananiambia kama nilivoota ndotoni. Kwenye maono nilimuota ananifanyia uchawi ikiwemo kuninuia na kuchoma ubani.
Nmejizuia asijue kama nimemgundua sababu huyu dada pia ni jirani yangu tulikozaliwa vijjini huku mkoani tumekutana kiutafutaji.
Bahati mbaya mimi napenda bia na yeye ana grocery karibu na home nikiwa arosto naenda kwake nakunywa kwa cashi na mkopo ila nikirudi home ni balaa lazima nigombane na wife.
Nikinywa sehemu nyingine sijawahi kugombana na mke kwa miaka kadha kuna vitu vidogo vidogo vyenye madhara makubwa, kuna siku nakunywa gafla akanipa zawadi ya pipi nikataka kuila roho ikaniambia unakulaje pipi na pombe nikasema niweke mfukoni nitampa mtoto nyumbani kufika njiani najisachi nikaikuta pipi mfukoni nikakasirika sana na kuitupa.
kesho nikakitana nae akaniuliza ile pipi ya jana ulipeleka wapi nikamjibu nilikula akasema Mmmh uwongo hukuila nikamwambia kwa nini unasema sikuila akaniambia kweli umekula akatabasamu, hapo network ikakaa mtengano nikajiuliza nini kilikuwa kwa ile pipi! Kwa nini njiani niliitupa kwa hasira!
Nikapotezea kwa minajili ya kumchimba zaidi kumbe naharibu yeye anaendelea kukoka uchawi wake anashangaa kuniona sibadiliki akaanza kuomb 500 ukifika anaomba 500 anunue biskut nikawa namkazia simpi siku nikamwambia chukua 5000 ukatoe apo 500 akagoma nataka 500 tu basi utanipa ata kesho.
Siku nikanywa pombe kufika home sense zikaniambia usicheze na umeme kwanza block number na usikanyage tena maeneo hayo. Siku nimelala naona picha yake inanifuata na silaha nikashtuka kucheki muda ni saa saba usiku.
Nilichokifanya nikatafuta ubani nikafanya kama nyuzi za mtaalamu Rakim zinavyosema, siku 2 yule demu akafunga ofisi amekimbilia uko visitant sasa anafanya biashara ya samaki.
Message to take home: Men don't take any women's friendship for granted play smart and have wider boundaries with street women. Never entertain poor women in your friendship circle!
Never give your hard-earned coin to a woman just because she has berg you, she may play witchcraft with it and you will suffer.
Never ignore your sense organs and be rude to nature so that it will offer you soft consequences.
The world promotes equality but nature influences equity, never leave room for equality in your subconscious mind.
Lastly, gender which cannot be distinguished by clothing is home to demons, and if you are not strong enough you will suffer even in your grave.
Western education fools our minds and sometimes make men make fewer manhood decisions.
Now the global seen more humanness in women's intentionally if you also see the same you are finished.
I prefer to convey the simple tragedy in a complex tone to reduce unnecessary noises which can cause environmental pollution.

.