The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 5,082
- 20,798
1. Masunga josephat Masunga.Nitumie majina matatu matatu
2. Ester Martin Maduhu.
Ukitaka hata majina matatu ya bibi mzaa bibi nakupa.
1. Masunga josephat Masunga.Nitumie majina matatu matatu
Nakupatia wapi papa mkubwa. Mm nipo kunduchi hapa mekoNitumie majina matatu matatu
Huogopi kuchukua kubwa kutoka kwa Mukubwa?1. Masunga josephat Masunga.
2. Ester Martin Maduhu.
Ukitaka hata majina matatu ya bibi mzaa bibi nakupa.
Uchawi haupo brother. Ni hadithi tu za alinacha.Huogopi kuchukua kubwa kutoka kwa Mukubwa?
Hujakutana na wachawi Kaka. Niamini mimi...Uchawi haupo brother. Ni hadithi tu za alinacha.
Wape majina yangu nataka waniroge. Waambie naomba kurogwa.Hujakutana na wachawi Kaka. Niamini mimi...
only know little about life, there's so much mysterious things happening which we are not aware of.Trapped in your own thoughts (abyss)
Hakuna uchawi
Naomba connection mkuu, ninayo elimu dunia na napenda kujua elimu ya kiroho nipe mbinu za kujifunza nichote maarifaNmewahi kushuhudia maajabu mengi kwa kuyatafuta haikuwa bahati mbaya nimeshuhudia mtu anazikwa hai na kufufuliwa, nimeona zindiko la wizi na kukwepa polisi porini, mwizi humuui bila kujua dawa yake, back in 2005 kulitokea scandal kubwa ya series za uchawi acha kabisa .
Fisi na chatu ni wanyama watu wanaishi nao geto, usishangae hujui Sayansi ya wachawi ni mbingu na ardhi!!!wanakijiji tukafanya fujo mpaka kanisa likafa na mchungaji akasimamiwa na polisi akahama kijiji....
Dunia ina vitu vya ajabu na kuna vitu hutakaa uvijue mpaka mwisho wako hapa duniani, Dunia ina wenyewe haina mwenyewe. Stori za kuishi baharini, kukutana na viumbe vya ajabu huwezi kuamini mpaka uwe mtu wa ajabu.
Miaka 350 ijayo watakaokuwepo watakuwa wanaona sisi watu wa miaka ya 1900-2100 tulikuwa ni kizazi dhaifu na cha hovyo, huwezi kuanini ata raisi Nyerere, Bush, Biden, Vldmir watakuwa hawapewi heshima ya baba wa taifa itakuwa tu kama mtu wa kale kule Olduvaii George, sio stori ya kusisimua kupata coverage kivile, ni kama tu wakina kinjikitile Ngwale, au Mansa Kanka Musa wa Mali.
Kutakuwa na vitu vingi vya maana vya kupewa kipau mbele kama taifa na sio maraisi wa miaka 300 nyuma sio habari
Nkuachia namba unitafte kama uko siriasWape majina yangu nataka waniroge. Waambie naomba kurogwa.
UongoUchawi upo ,nliamini yaliponikuta ,
Ku..make aisee niliteswa mwaka na nusu na mshua pia wakampa kibano ...tulikuwa tunashinda hospitali kila muda ,mie tumbo yy mguu kutoa usaha ...
Nimetumia karibia millioni 450 kwetu sote wawili kwa matibabu ...Kuna mwamba humu jf alinipeleka sehemu , nlichanganyishiwa miti bwana nlitapika Pete 3 na madini yanakaa meusi 36 ,kudadeki mshua mguuni alitoka mfupa wa samaki amabae hajakatika Yaani bro mkubwa alikuwepo alibaki kushtuka nlizirai kuamka siku ya tatu .
Nlipouliza vp nani katufanyia vile , alieka maji kwa beseni ikawa Kama tv vile nkawaona wanga wale wote ku**Nina zao .
Na ni watu wa familia ye2.
Muda Si mrefu nishakata kauli kuu ,kisasi kikuu nmekipanga ,Si kuwa naamini uchawi maisha yangu ,Ila lazima nilipize ,an eye for an eye
Sasa wewe ni mchawi alafu hujui majina 😂Nipe jina lako na la mama yako