Uchawi upo, usidanganywe

Uchawi upo, usidanganywe

Hahah... Nilichoelewa ni kwamba una miaka 30.. Kwamujibu wa hadith yako tumeona jamaa ameuliwa na tembo. Na kama mlimkuta ameshakufa mlijuaje kama alienda kwa mke mdogo kuvuta bangi? Mlijuaje alienda kwenye kichaka kukata fimbo akamchape mkewe? Mlijuaje alihisi kunya alipofika kichakani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Taarifa zote za kwenda kwa mke mdogo kuvuta bangi, kwenda kichakani kukata fimbo zilipatikana kwa mke wake mdogo. Lkn pia pale kichakani tulikuta kinyesi kibichi kabisa
 
Wachawi wamenitesa sana ila na wao nimewatesa sana maana walikuwa kila wakija iwe mchana au usiku Mie nawaona kuna kipindi nilikaa wiki mbili bila kulala tunasumbuana mwisho wakamtuma mwenzao akaja live na kuniambia Kumbe Mie mtoto lakini ni mkubwa
Ko mkuu ulikuwa unawaonaje yaani?
 
Wachawi wamenitesa sana ila na wao nimewatesa sana maana walikuwa kila wakija iwe mchana au usiku Mie nawaona kuna kipindi nilikaa wiki mbili bila kulala tunasumbuana mwisho wakamtuma mwenzao akaja live na kuniambia Kumbe Mie mtoto lakini ni mkubwa
Aliyetumwa alikua mwanaume au mwanamke ? Maana patakua patamu kama alitumwa mwanamke ....!! naivuta picha kwa mbaaali...!! Nasikia wanawake wachawi kwa viuno ni nuksi ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna uchawi narudia tena hakuna uchawi.uchawi ni imani uchawi umejaa upotoshwaji zaidi kiliko ukweli lakini naomba nikilii nguvu hii ipo hoja ya msingi hapa inatendaje kaz?na kwa nini wengine hurogeka na wangine hawarogeki ukweli ni kwamba wanao rogeka ni wale wasio jiamini ni wale wanao ishi kwa mashaka ni wale wenye hofu,unadhani kwa nini watu wengi wanao sali sana wanao jiita wapendwa huutaja zaidi uchawi kwa kutojiamini kwao hudhani uchawi wanaujua kweli ukweli bado hawaujui.0756805540 niulize cho2te kuhusu uchawi nitakufungua utakua huru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom