Uchawi upo! Muendekeze Mungu ufe masikini

Mbona kuna mashoga wanamuhasi Mungu wengine wanamwita ni mwanamke na bado wanatoboa tena wanapesa mbaya
 
Nilikuwa najua una content
Nimefahamu licha ya kuwa dr ila una matatizo
 
Nani kakwambia kila Mtu anataka kuwa Tajiri?



Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Andiko machachari hivi bila rejea (reference) linakosa mashiko
 
Ndio Mungu ameumba maradhi kifo uzima uhai yoooote hayo ni Mtihani wakujaribiwa imani zetu je tutakufuru atuingize katika moto wa jahanamu au tutasubiri ili atulipe pep. Shetani hawezi kukudhuru mpaka apewe izini ya Mungu kukudhuru.
Kwahyo mungu alimuumba binadamu kwa lengo la kuja kumjaribu ?

Na kipi kilianza kuumbwa kati ya Jahanamu na Shetani ?
 

Hapa ndipo unapozidi kijichanganya ukihisi upo sawia.

Unasema Mungu amekuleta duniani na kukupa mtihani then unasema Mungu ndio hupanga kifo chako (Maana yake kwamba anajua A - Z ya maisha yako)

Inamaana hata mchawi, jambazi, anajua kwamba watakuja kua hivyo kabla hata hajafanya maamuzi ya kuwaumba na watakufa kwa namna flani ambayo itawapelekea kwenda motoni.

Yani ni kama saivi wewe upewe option ya kuzaa mtoto kisha upewe ufahamu wa kupanga au kutambua fika huyu atakuja kuwa jambazi, mwizi, mchungaji, malaya, shoga, tajiri je utachagua yupi kati yao??
 
Kwahy mungu kashanipangia kuhusu kifo changu na kilakitu kunihusu mimi,

Sasa kwann anipeleke jahanamu wakati kila kitu yeye ndo kanipangia ??
 
Naunga mkono hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…