Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,343
- 33,174
Itagoma kuwanga kuna sheria zake Sio kila Mtu anaweza kuwanga la hasha Wanga wana SheriaAfu mzizimkavu nikuulize, hivi ukichana newel vizuri na kujipaka lotion na perfume, ukienda kuwanga itagoma? Manake naonaga picha za wachawi wanakuwa hawajachana nywele na wamepaukaaa
Mkuu Luiz Kama ni kweli ni mgonjwa wa akili huyu bibie kwanini hawampeleki hospiatli kumtibia huo ugonjwa wa kail?mimi mwenyewe nilikuepo kwenye tukio hili kwa taarifa tu huyu mdada hakuwa mchawi bali ni mgonjwa wa akili aliondoka kwao usiku wa manane na kukutwa kwenye nyumba ya mtu ambayo ipo karibu na soko linaitwa mwambene kata ya Ilomba mbeya wakazi wa eneo hilo walijua mchawi bali alikuwa mgonjwa baada ya majirani na ndugu zake kuthibitisha hilo na ameitimu TEFILO KISANJI UNIVERSITY 2008/2011 Kilichopo mkoani mbeya.
Teofilo Kisanji University is owned by the Moravian Church in Tanzania . Its origin is a Theological College which was established in the early 1960s. In 2004 the Moravian leaders decided to transform the Theological College into a University. The University was granted a certificate of Provisional Registration in April, 2006 and a Certificate of Full Registration in September 2007. In 2010, the University received a signed charter and rules from the President of the United Republic of Tanzania.
Kwa kuwa katokea kanisani lazima waje wapindishe kuwa siyo mchawi.