UCHAWI: Ongezeko la paka kukatwa mikia

UCHAWI: Ongezeko la paka kukatwa mikia

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
11,084
Reaction score
14,564
Naanza kwa kuwasalimu No reforms ! (mjibu kwa makelele no elections)

Wakuu nimekuwa na hii observation mjini Dar na zanzibar kwa ujumla kumekuwa na paka wengi hususani hawa wakuzurura (wa mtaani) kuwaona wamekatwa mikia ,mwanzo niijisemea ni mambo ya watu wakatili kwa wanyama ,badae nikaona mbona nawaona wengi ,nikaamua nikusanye data nadhani ndani ya week sinza tu niliwaona paka 8 kwenye maeneo tofauti (yaweza kuwa pungufu kidogo huwenda kuna niliojirudia) ,nikaenda mechi ile ya simba zanzibar huko ni wengi katika 10 basi wawili hawana mkia umekatwa na zote wanakata nusu.

wakuu nauhakika huu ni ushirikina maana tungesema wanakatana lakini hapana paka huumizana uso tu kwa kuparuana tu. wajuzi mtupe mwanga Rakims Mshana Jr
 
Screenshot_20250511-094311.png
 
Title ya uzi umeandika kama vile unajua kinachoendelea na umeshusha nondo
mkuu nimeelezea kwa nini nimefikia kusema ushirikina nimeweka si kwa ubaya kufanya nisilojua liwekwe wazi
 
Naanza kwa kuwasalimu No reforms ! (mjibu kwa makelele no elections)

Wakuu nimekuwa na hii observation mjini Dar na zanzibar kwa ujumla kumekuwa na paka wengi hususani hawa wakuzurura (wa mtaani) kuwaona wamekatwa mikia ,mwanzo niijisemea ni mambo ya watu wakatili kwa wanyama ,badae nikaona mbona nawaona wengi ,nikaamua nikusanye data nadhani ndani ya week sinza tu niliwaona paka 8 kwenye maeneo tofauti (yaweza kuwa pungufu kidogo huwenda kuna niliojirudia) ,nikaenda mechi ile ya simba zanzibar huko ni wengi katika 10 basi wawili hawana mkia umekatwa na zote wanakata nusu.

wakuu nauhakika huu ni ushirikina maana tungesema wanakatana lakini hapana paka huumizana uso tu kwa kuparuana tu. wajuzi mtupe mwanga Rakims Mshana Jr
Mji wowote hapa Tanzania wenye waislam wengi lazima utakuta paka wa hajabu na tena hawaogopi watu. Utashangaa unaenda kuoga anakufuata bafuni na anakaa juu ya paa ama ukuta akikuchungulia. Utashangaa asubuhi unakwenda kazini watu wanakushangaa mtaani, yaani kama wanaitana jamani yule jamaa ndiyo huyu. Utaona wanakushanga tu huku wakitabasamu. Mimi Zanzibar, Pemba, Tanga, Dar, Bagamoyo, Kondoa, Kigoma na Tabora.....sitaki kabisa kuisikia hii mikoa mpaka wabadilike.
 
Asee yaan nimepita kote huko kasoro kondoa sipajui ni full mapaka
 
Mwaka wa uchaguzi huu mauzauza yataongezeka.
Maalbino kuuwawa,watoto kupotea tena mapaka nayo wanakata mikia.
Waganga wawatume hao watu mpaka mapanya wayasake mtaani yote yaishe.
 
Naanza kwa kuwasalimu No reforms ! (mjibu kwa makelele no elections)

Wakuu nimekuwa na hii observation mjini Dar na zanzibar kwa ujumla kumekuwa na paka wengi hususani hawa wakuzurura (wa mtaani) kuwaona wamekatwa mikia ,mwanzo niijisemea ni mambo ya watu wakatili kwa wanyama ,badae nikaona mbona nawaona wengi ,nikaamua nikusanye data nadhani ndani ya week sinza tu niliwaona paka 8 kwenye maeneo tofauti (yaweza kuwa pungufu kidogo huwenda kuna niliojirudia) ,nikaenda mechi ile ya simba zanzibar huko ni wengi katika 10 basi wawili hawana mkia umekatwa na zote wanakata nusu.

wakuu nauhakika huu ni ushirikina maana tungesema wanakatana lakini hapana paka huumizana uso tu kwa kuparuana tu. wajuzi mtupe mwanga Rakims Mshana Jr
Duh hii ni mpya kwangu.. Nitafuatilia
 
Panya nao wamekuja na reforms zao, wanawavizia wakiwa wamelala.
 
Back
Top Bottom