UCHAWI: Ongezeko la paka kukatwa mikia

UCHAWI: Ongezeko la paka kukatwa mikia

Mji wowote hapa Tanzania wenye waislam wengi lazima utakuta paka wa hajabu na tena hawaogopi watu. Utashangaa unaenda kuoga anakufuata bafuni na anakaa juu ya paa ama ukuta akikuchungulia. Utashangaa asubuhi unakwenda kazini watu wanakushangaa mtaani, yaani kama wanaitana jamani yule jamaa ndiyo huyu. Utaona wanakushanga tu huku wakitabasamu. Mimi Zanzibar, Pemba, Tanga, Dar, Bagamoyo, Kondoa, Kigoma na Tabora.....sitaki kabisa kuisikia hii mikoa mpaka wabadilike.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Naanza kwa kuwasalimu No reforms ! (mjibu kwa makelele no elections)

Wakuu nimekuwa na hii observation mjini Dar na zanzibar kwa ujumla kumekuwa na paka wengi hususani hawa wakuzurura (wa mtaani) kuwaona wamekatwa mikia ,mwanzo niijisemea ni mambo ya watu wakatili kwa wanyama ,badae nikaona mbona nawaona wengi ,nikaamua nikusanye data nadhani ndani ya week sinza tu niliwaona paka 8 kwenye maeneo tofauti (yaweza kuwa pungufu kidogo huwenda kuna niliojirudia) ,nikaenda mechi ile ya simba zanzibar huko ni wengi katika 10 basi wawili hawana mkia umekatwa na zote wanakata nusu.

wakuu nauhakika huu ni ushirikina maana tungesema wanakatana lakini hapana paka huumizana uso tu kwa kuparuana tu. wajuzi mtupe mwanga Rakims Mshana Jr

Bila Mabadiliko (Jibu kwa kupiga kelelee Hakuna uchaguzi, hakuna usanii)

Bro usiishi kwa kudhania. Kwenye psychology kuna kitu tunaita illusion. Yaani kuna mambo mengi tunayodhania au kuyaogopa kuliko uhalisia au hali halisi. Ukiona hali hii inakuzidia nenda kamuone daktari wa afya ya akili
 
Mji wowote hapa Tanzania wenye waislam wengi lazima utakuta paka wa hajabu na tena hawaogopi watu. Utashangaa unaenda kuoga anakufuata bafuni na anakaa juu ya paa ama ukuta akikuchungulia. Utashangaa asubuhi unakwenda kazini watu wanakushangaa mtaani, yaani kama wanaitana jamani yule jamaa ndiyo huyu. Utaona wanakushanga tu huku wakitabasamu. Mimi Zanzibar, Pemba, Tanga, Dar, Bagamoyo, Kondoa, Kigoma na Tabora.....sitaki kabisa kuisikia hii mikoa mpaka wabadilike.

Mudy huwa hafundishi watu kuwajibika na kazi. Bali kudai haki tu
 
Back
Top Bottom