Uchawi ndivyo unavyoanzaga hivi....

mkuu mshana jr hebu sema kidogo hapa
Nilikuwa naomba mizimu yote nisitajwe hapa Lakini haina jinsi nimetajwa
Sasa iko hivi huo uchawi unaitwa wa kijicho na ubinafsi... Yani kwa mfano una wabunge na madiwani wa kutosha kabisa halafu bado unahangaika kuwarubuni wa mwemzako kwa vitisho fedha na vyeo... Kweli kabisa uchawi huanza hivyo.... Ficha ID yangu
 
We nae nimekifuatilia sana hunaga lolote
 
Simple word but bitter
 
😀😀😀😀😀😀 mkuu na wewe unaanza ramli chonganishi sasa
 
.
 
Mkuu,kwa heshima na taadhima id yako hakuna kiunbe kitaitambua.Hahahahahaaaa.Kijicho?Ubinafsi?
#cc:Humphrey Poulepouleeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…