duh! It seems nimezeeka vya kutosha sasa kiasi cha kupoteza uwezo wa kuelewa na kufuatilia mijadala.Nilidhani tunaongelea umbali ambao sauti inaweza ikasikika, kumbe ulikuwa unamaanisha venue?Japo nitajionea acha nijipige ban ya wiki nzima kwa kosa la kutoeleweka.