Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,101
- 6,027
Huku mtaani kwangu watoto wengi(darasa kati 2-5) sasahivi wanarithishwa mikoba na wazazi/walezi wao, nadhani hawajafundwa vizuri manake wanatapika vibaya(wanatoa siri mwanzo mwisho)...utawasikia tu ...yule pale tunampitia usiku, nyumba ile wapo, pale na pale tunawadaka...yaani hadi inaogopesha, wanadai usiku wanaruka mpaka coco beach na mambo mengine kibao!!
Vp huko mtaani kwenu yapo haya au ni huku tu??
Vp huko mtaani kwenu yapo haya au ni huku tu??