Uchawi...Maepe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchawi...Maepe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sizinga, Jun 22, 2011.

 1. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Huku mtaani kwangu watoto wengi(darasa kati 2-5) sasahivi wanarithishwa mikoba na wazazi/walezi wao, nadhani hawajafundwa vizuri manake wanatapika vibaya(wanatoa siri mwanzo mwisho)...utawasikia tu ...yule pale tunampitia usiku, nyumba ile wapo, pale na pale tunawadaka...yaani hadi inaogopesha, wanadai usiku wanaruka mpaka coco beach na mambo mengine kibao!!

  Vp huko mtaani kwenu yapo haya au ni huku tu??
   
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Muite Yesu hapo ulipo, wooote watakimbia na mtabakia huru.

  Jesus said:
  He has sent me to proclaim release to the captives . . . to set free those who are downtrodden (Luke 4:18).
  And these signs shall follow them that believe; In my name shall they cast out devils; they shall speak with new tongues; Mark 16:17

  Mkuu, ita Yesu hapo, utasikia vurumai litakalo tokea kwa hao wachawi mtaani kwako, and theafter, mtakuwa huru maana Yesu akikuweka huru unakuwa huru kweli na kabisa.
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,294
  Likes Received: 22,073
  Trophy Points: 280
  mtawakanyaga nyoka na nge na nguvu za
  yule Ibilisi, hata mkinywa kitu cha kufisha
  hakitawadhuru, mtaweka mikono juu ya
  wagonjwa nao watapokea afya
   
 4. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Dawa yao hao wachawi ni yesu Kristo. Kemea hao wachawi kwa jina la Yesu alie hai.
   
 5. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2011
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,276
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  hakuna njia nyingine mzee, fata ushauri wa maxshimba....
   
 6. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #6
  Jun 23, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mmmmmhhhhhhhhhhhhh! Kuondoa uchawi kwa mazingaombwe! Huo ni mzaha.
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Jun 23, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,294
  Likes Received: 22,073
  Trophy Points: 280
  mzee, huto tutoto tunasumbuliwa na matatizo ya kuvunja ungo na balehe.
  Hebu kasokomeze mkitu katoto kamoja ka kike, kataacha kuweweseka.
   
 8. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #8
  Jun 23, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Wapo hapo, kawe au tandale kwa tumbo?. Tueleze mtaa tutie timu ya wanamaombi.
   
 9. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #9
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  dawa yao kitimoto tu
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Apr 19, 2015
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,294
  Likes Received: 22,073
  Trophy Points: 280
  ameeeeen
   
 11. ISLETS

  ISLETS JF-Expert Member

  #11
  Apr 20, 2015
  Joined: Dec 29, 2012
  Messages: 5,298
  Likes Received: 1,188
  Trophy Points: 280
  huo mtaa hatari sana . . . maombi yanahitajika
   
 12. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #12
  Apr 20, 2015
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Kuna jina sijaliona hapo, kwani hilo jina nikilitumia siwezi kufukuza mapepo na wachawi?
   
Loading...