Uchawi kwenye soka ya TZ

Hii ndiyo bongo land.
Viongozi wa dini ni wachawi ile mbaya,
siasa imejaa uchawi,
mapenzi uchawi mtupu,
biashara ni mauchawi
yaani kila kitu ni uchawi hakika tumellaaniwa.
Maandiko yanasema amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu kuwa ngao na kinga ya maisha yake.
Halafu tunaambiwa bwana asipoulinda mji waulindao wakesha bure.
Mtakoma kuringa.
 
Hivi hufahamu hata rais wa nchi ni mshirikina? Ujinga mtupu, ataenda kwa yahaya we subiri tu. Hiki ndio kikwazo kikubwa cha maendeleo ya soka Tanzania.
 
Hii ndiyo bongo land.
Viongozi wa dini ni wachawi ile mbaya,
siasa imejaa uchawi,
mapenzi uchawi mtupu,
biashara ni mauchawi
yaani kila kitu ni uchawi hakika tumellaaniwa.
Maandiko yanasema amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu kuwa ngao na kinga ya maisha yake.
Halafu tunaambiwa bwana asipoulinda mji waulindao wakesha bure.
Mtakoma kuringa.

...na huu uchaguzi unaokuja wachawi ni wakati wao wa mavuno ya hali ya juu. Nasikia wengine husafiri hadi Nigeria kwenda kupata ndumba na ngaye ili wapendeke au wachaguli na kupewa vyeo vya juu. Mungu tusaidie.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom