Uchawi kupitia panya

Uchawi kupitia panya

Mhhhh, kama wenye nyumba yako ni watu wa Kigoma, Rukwa, Tanga, hii ni asili yao. Pole lakini na jitahidi uhame haraka sana kwani huyo panya mwisho wa siku wenye nyumba wakiona hauna mpango na msichana wao watakufila ili wakukomoe kisha wakusanifu.
duh,hatari sana
 
Panya wa kichawi wapo. Ninapoishi nilipatwa na hali kama yako. Baada ya maombi tu walipotea. Cha ajabu wakati wa maombi mfanyakazi wa ndani alilipuka mapepo na mbwa walikuwa wakali sana. MUNGU ameingilia kati na yote yameisha

Jina la bwana Libarikiwe

Kipindi naishi Kigoma (Ujiji na Kasulu), mfanyakazi mwenzangu alikuwa akiishi peke kipindi hicho mkewe na wanawe wakiwa Tabora. Jamaa alikuwa anatoka na kademu fulani hivi ka Kiha na yule demu alimmaindi sana jamaa amuoe licha ya kuambiwa kuwa jamaa ana mke na watoto wake huko Tabora. Demu hakuridhika, akafanya ya kufanya kulazimisha jamaa amuoe kwani alianza kuhamia kwa jamaa mdogomdogo. Jamaa kuona vile akamtosa yule demu mchana kweupe kuhofia ndoa ya mkeka. Demu akamuonya jamaa na kumwambia leo usiku utanikoma. Jamani dunia ina watu hii. Yule jamaa tulikuwa tunakaa in the same polisi quarter/compound, basi ule usiku akasikia kelele chumbani kwake akiwa amelala, ile kuhamka tu na kuwasha taa akaona panya anakimbia na mboo yake darini huku mboo ikichururika damu, jamaa kujiangalia akaona hana mboo ndipo akaanza kupiga kelele ile saa tano ya usiku. Kwenda kule tukakuta jamaa kazimia, bahati nzuri katika lile kundi la watu tuliokwenda kulikuwa na Mze X (simtaji jina kwa security reasons au tumuite tu mshana jr kwa sasa) alikuwa mtaalam wa hivi vitu, akafanya yake na jamaa kuzinduka. Akampeleka ziwani (ujiji) kwa utaalam Zaidi. Kwa kifupi, jamaa alipona na yule demu alipatwa na uchizi wa kuvua nguo kabisa baada ya jamaa kupona.
 
ehe,hiyo noma sana iasee,duh
 
So simple! weka dawa ya panya ndani akila afe. afu kuna mwingine kasema fuga paka..mmh paka aishi geto hata siku moja atakufa kwa njaa bure.. paka anafaa kuishi na familia
 
Panya kavaa tai na mwingine mkoba? Hao jamaa wakali,labda zilikuwa hirizi
Ni mapanya, yalikuwa yanakatisha asubuhi kama yanaenda kazini na jioni yanarudi kama mfanyakazi wa serikali.
 
Wakuu habari,

Nimeona niweke uzi huu ili kupata usaidizi wa kina kwa wajuzi na juu ya kukabiliana na hili tatizo. Naishi peke yangu katika kachumba kangu, lakini ajabu ni kwamba kila ikifika mida ya saa nne usiku na kuendelea kila siku kuna panya mmoja anapita juu ya dari kutoka jikoni kuja ndani kwangu, atazunguka akichka atashuka chini ya uvungu wa kitanda kupitia miti ya neti.

Pamoja na hayo nishichoelewa ni juu ya matukio haya mawili, kuna siku niliweka elfu kumi na mbili juu ya meza yangu nikaamka nikakuta zipo elfu sana tu, nilijiuliza sana mwisho nikaamua kupotezea, Pili ni usiku wa kuamkia leo, nikiwa na akili timamu, nakumbuka jana nilinunua karanga mbichi za miambili kwa jili ya kutafuna asubuhi ya leo nikiwa katika mishe zangu, nazo nikaziweka pembezoni kabisa mwa PC yangu katika hako kameza, ilipofika usiku mnene nikasikia kwa masiko yangu kwani siku hiyo sikupata usingizi mapema kama mjongeo wa mtu si mtu kitu si kitu kikifanya kukurukakara ndani ya chumba changu, nikapatwa na hofu zaidi hiko kitu/mtu alipokanyaga kitu mithili ya karatasi kuja kuelekea nilikolala, nikapata kaujasiri nikapiga kadua kafupi hali ikatulia.

But nilipoamka asubuhi na nilichelewa kuliko kawaida ajabu sikuziona zile karanga, nimetafuta kila kona ya chumba sikuoziona, sasa wajuzi wa haya mambo na wanaojua masuala ya shiriki, embu niambieni hii inamaana gani na naweza vipi kuitataua katiaka hali ya ubinadamu pamoja na kwamba najua fika kuwa sala ni na kukemea ni dawa nzuri zaidi.

Pia kama ni wachawi nataka niwaone ili niwaulize hasa wanataka nini kwangu?

Natanguliza shukrani kwa wachangaiaji, ila tafadhali changia inavyokupa, matani na matusi plus jokes sio busara.
Weka mtego Wa panya mkuu
 
michezo tu ya wanga hiyo alale na kipande cha ndimu chini ya mto kisha ajipake kitunguu saumu kwenye paji la uso
Mkuu mshana, hii dawa inasaidia nini? Kuweza kuwaona tu au wao wanashindwa kukudhuru? Nifafanulie...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom