Uchapishaji,Uenezaji na Usambazaji wa Ilani za Wana UKAWA

Watu tunalia kila siku wahalifu wafungwe jela....lakini sera ya chadema ni kufungulia wahalifu na wabakaji!! maajabu haya sijui yataisha lini
 
Wewe unajipa kazi ya bure wakati boss wako lowasa kasema twende mitandaoni....mambo ya web
 
Kweli mkiitwa wapumbavu povu linawatoka, hakuna siku ilikuwa muhimu kuitangaza hiyo ilani zaidi ya leo, macho na masikio ya watu yote yalikua jangwani, hivi unaishi nchi gani usifahamu kama Watanzania hatuna utamaduni wakusoma vitu muhimu zaidi ya magazeti ya udaku? Hiyo ilani itamfikiaje bibi yangu huko namtumbo au matombo? Nani ataekwenda kumsomea babu yangu ilani yenu mpaka aelewe huko kijijini? Mmechemsha vibaya leo

Eti wale watu ni wa ku edit!!!???....natumaini leo hamta mdanganya mzee wa magogoni...
 
Kweli mkiitwa wapumbavu povu linawatoka, hakuna siku ilikuwa muhimu kuitangaza hiyo ilani zaidi ya leo, macho na masikio ya watu yote yalikua jangwani, hivi unaishi nchi gani usifahamu kama Watanzania hatuna utamaduni wakusoma vitu muhimu zaidi ya magazeti ya udaku? Hiyo ilani itamfikiaje bibi yangu huko namtumbo au matombo? Nani ataekwenda kumsomea babu yangu ilani yenu mpaka aelewe huko kijijini? Mmechemsha vibaya leo
mmm so you want to say bibi yako na babu yako huko namtumbo au matombo walikuwa wanatizama mkutano wa UKAWA live leo kwenye TV?...sure!
You also need to know kwamba huo ni mwanzo tu na kampeni ndo zimeanza rasmi so ni kazi ya hao walioko huko namtumbo,matombo etc kuwaelezea hao ndugu zetu huko yaliyoko kwenye ilani na yanayowahusu.....na kama mgombea atafika huko kwenye kampeni atawaeleza huko hayo yaliyoko kwenye ilani nk.
 
Kweli una akili kama sumaye sio kosa lako
 
Subiri kama na ccm hawajaiga!!!
Hapo nawaunga mkono mkuu, 1.Elimu
2.Elimu
3.Elimu
4.Kilimo
5.Afya
6.Usafirishaji
7.
8.
9.

viva ukawa.

Kwani hata katiba si waliiga waka to.mba moto?
 
TAARIFA MUHIMU;

Lowassa kuhutubia live usiku huu; Mgombea Urais wa CHADEMA ambaye pia anawakilisha UKAWA, Edward Lowassa atahutubia taifa usiku huu moja kwa moja kupitia Kituo cha Televisheni cha ITV mara baada ya taarifa ya habari. Hii itakuwa Kwa ajili ya Watanzania ambao kutokana muda kuwa mfupi hawakupata fursa ya kusikia hotuba yote aliyopanga kuitoa leo Kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni za kitaifa za CHADEMA na UKAWA.

Ni habari niliyodokezwa hivi punde...!
 
Aliyeipata ilani ya ukawa atuwekee hapa jamvini

Ipatikane wapi? Hiyo website ilianza lini kutoa habari? Maigizo full maigizo, usijali lakini ameamua kuitoa usiku huu ITV baada kujua kajiingiza choo cha madada poa
 
Aisee ukiwa ccm lazima uwe ni zero brain kwa hiyo kaipigia tu itv kuwa nataka hotuba irudiwe na ikarudiwa... nyie leteni sera zenu za libya tu sie tuko tayari ..
 
Kweli una akili kama sumaye sio kosa lako

Ohh acha kujitukana Sumaye ni kichwa kingine kasoma Harvad unaijui hiyo...wacha kabisa uccm maana ccm ndo huwa wana manaongea bila utafiti
 
Hata Chenge kasoma Havard ha ha ha
 
mmm so you want to say bibi yako na babu yako huko namtumbo au matombo walikuwa wanatizama mkutano wa UKAWA live leo kwenye TV?...sure!
You also need to know kwamba huo ni mwanzo tu na kampeni ndo zimeanza rasmi so ni kazi ya hao walioko huko namtumbo,matombo etc kuwaelezea hao ndugu zetu huko yaliyoko kwenye ilani na yanayowahusu.....na kama mgombea atafika huko kwenye kampeni atawaeleza huko hayo yaliyoko kwenye ilani nk.

ahahaha,nimeipenda hii
 
Back
Top Bottom