Uchapishaji,Uenezaji na Usambazaji wa Ilani za Wana UKAWA

Yohana Kilimba

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
8,105
Reaction score
5,642
Ilani ya chadema na vyama vyote vinavyounda ukawa zishatoka,naomba nitoe ufafanuzi kwa hii ya chadema na ningependa kuelezea jinsi tutakavyoweza kuichapisha na kuisambaza kwa wananchi ambao hawana uwezo na elimu ya tehama,na huu utaratibu unaweza tumia na ukawa wote:
a)tuichapishe ilani hii from soft copy to hardcopy
b)tuichambue na kuisummarize katika vibooklet vidogovidogo vyenye michoro ya rangi kurahisisha kuelewa kwa sera kirahisi
c)kuisambaza kwa wananchi kupitia kwa wabunge,madiwani kwa kuwagaia hivi vibooklet
d)kujitolea kuielezea na kuifafanua ilani yote ktk simple terms vijiweni na sehemu zote za hadhara kwa walio tayari kutusikiliza
e)kujaribu kuichambua ilani hii mitandaoni in simple terminologies
f)kazi hii ni kujitolea,kama una mawazo zaidi unaweza ongezea
g)nia yetu ilani iwafikie wote
 
Subiri kama na ccm hawajaiga!!!
Hapo nawaunga mkono mkuu, 1.Elimu
2.Elimu
3.Elimu
4.Kilimo
5.Afya
6.Usafirishaji
7.
8.
9.

viva ukawa.
 
Kweli mkiitwa wapumbavu povu linawatoka, hakuna siku ilikuwa muhimu kuitangaza hiyo ilani zaidi ya leo, macho na masikio ya watu yote yalikua jangwani, hivi unaishi nchi gani usifahamu kama Watanzania hatuna utamaduni wakusoma vitu muhimu zaidi ya magazeti ya udaku? Hiyo ilani itamfikiaje bibi yangu huko namtumbo au matombo? Nani ataekwenda kumsomea babu yangu ilani yenu mpaka aelewe huko kijijini? Mmechemsha vibaya leo
 
Tunaomba tuwekeeni soft copy hapa JF fasta tuanze kuisumarize na kusambza; uzuri wa wanamageuzi hatutakagi malipo leta tuanze kz muda si rafiki yatu

Wengine tutatuma soft copy kwa watsup na facebook.

* malofa katika ubora wetu!!!
 
Ilani ya chadema na vyama vyote vinavyounda ukawa zishatoka,naomba nitoe ufafanuzi kwa hii ya chadema na ningependa kuelezea jinsi tutakavyoweza kuichapisha na kuisambaza kwa wananchi ambao hawana uwezo na elimu ya tehama,na huu utaratibu unaweza tumia na ukawa wote:
a)tuichapishe ilani hii from soft copy to hardcopy
b)tuichambue na kuisummarize katika vibooklet vidogovidogo vyenye michoro ya rangi kurahisisha kuelewa kwa sera kirahisi
c)kuisambaza kwa wananchi kupitia kwa wabunge,madiwani kwa kuwagaia hivi vibooklet
d)kujitolea kuielezea na kuifafanua ilani yote ktk simple terms vijiweni na sehemu zote za hadhara kwa walio tayari kutusikiliza
e)kujaribu kuichambua ilani hii mitandaoni in simple terminologies
f)kazi hii ni kujitolea,kama una mawazo zaidi unaweza ongezea
g)nia yetu ilani iwafikie wote

Hayo mambo mngetakiwa kufanya kabla, 54days remains, lini mtaacha drama?
 
Huku za ccm imeshafika matawini na wakati wa kampeni wanagawa

Tatizo siyo kuifikisha bali tatizo ni kuwafikishia umati mkubwa.Chuki dhidi ya CCM miongoni mwa malofa na wapumbavu wengi itafanya wagawane ilani wao kwa wao vyumbani.Ilani ya UKAWA ipo neutral na huenda wanachichiem wengi wakaitafuta ili wapunguze kasi ya kusambaa kwake but hawawezi kuyazuia matetemeko kwa mikono.
 
Tunaomba tuwekeeni soft copy hapa JF fasta tuanze kuisumarize na kusambza; uzuri wa wanamageuzi hatutakagi malipo leta tuanze kz muda si rafiki yatu

Kuwa mvumilivu kidogo kamanda
ilani yaja
 
Ilani ya chadema na vyama vyote vinavyounda ukawa zishatoka,naomba nitoe ufafanuzi kwa hii ya chadema na ningependa kuelezea jinsi tutakavyoweza kuichapisha na kuisambaza kwa wananchi ambao hawana uwezo na elimu ya tehama,na huu utaratibu unaweza tumia na ukawa wote:
a)tuichapishe ilani hii from soft copy to hardcopy
b)tuichambue na kuisummarize katika vibooklet vidogovidogo vyenye michoro ya rangi kurahisisha kuelewa kwa sera kirahisi
c)kuisambaza kwa wananchi kupitia kwa wabunge,madiwani kwa kuwagaia hivi vibooklet
d)kujitolea kuielezea na kuifafanua ilani yote ktk simple terms vijiweni na sehemu zote za hadhara kwa walio tayari kutusikiliza
e)kujaribu kuichambua ilani hii mitandaoni in simple terminologies
f)kazi hii ni kujitolea,kama una mawazo zaidi unaweza ongezea
g)nia yetu ilani iwafikie wote

Nifafanulie tafadhali
 
Attachments

  • 1440869473077.jpg
    1440869473077.jpg
    10.1 KB · Views: 242
Kweli mkiitwa wapumbavu povu linawatoka, hakuna siku ilikuwa muhimu kuitangaza hiyo ilani zaidi ya leo, macho na masikio ya watu yote yalikua jangwani, hivi unaishi nchi gani usifahamu kama Watanzania hatuna utamaduni wakusoma vitu muhimu zaidi ya magazeti ya udaku? Hiyo ilani itamfikiaje bibi yangu huko namtumbo au matombo? Nani ataekwenda kumsomea babu yangu ilani yenu mpaka aelewe huko kijijini? Mmechemsha vibaya leo

zitawafikia fasta kuliko hzo za ccm!tena zitaktwa ziko simplified kwendana na eneo husika
 
Mnatatizo moja, kujibu bila kuwa na uhakika, unajibu kuwaridhisha kina nani? Unajua fika hayo hayawezekani lakini unataka kuleta siasa kila sehemu
 
Back
Top Bottom