Uchambuzi wa Habari: Gazeti Uhuru linapofichua njama za kufunika 'madudu' ya Ekelege wa TBS!

kwenye hili wabunge wote wapo pamoja. nilikuwepo kwenye maamuzi ya mwisho yaliyotolewa na kamati zote tatu; pac, poac na kamati ya viwanda na biashara, wabunge wote walikuwa kitu kimoja ktk kutetea watz. kama kuna njma basi njama hizo zipo pale wizarani kwa km joyce mapunjo.
 
nimeipenda hii analysis yako majjid. mie pia nilishangaa sana nilipoiona hii story kwenye gazeti la uhuru. nadhani sasa uhuru wameamka.
 
Mjengwa, gazeti la uhuru huwa halitabiriki wala kuaminika, subiri kidogo tu, kwenye habari hiyo hiyo unayoisifia utamsikia mhariri huyu akisema chanzo cha uozo wa tbs ni maandamano yasiyo na tija ya CHADEMA!
 
nimeipenda hii analysis yako majjid. mie pia nilishangaa sana nilipoiona hii story kwenye gazeti la uhuru. nadhani sasa uhuru wameamka.
Deo ustufanye wananchi mafala kama unasifia analysis ya Mjengwa kumbuka amesema kuna wabunge wana mpango huo,kwa kuwa wewe ni Mbunge anagalia comments zako ipi inakubali na ipi inakataa,kama wabunge wote mko pamoja basi usisifie analysis inayosema kuna wabunge wana njama ya kumsafisha mtu wa TBS,au wataje wabunge ili tuwazomee na kuwapa madongo humu
 
Ludewa said:
nimeipenda hii analysis yako majjid. mie pia nilishangaa sana nilipoiona hii story kwenye gazeti la uhuru. nadhani sasa uhuru wameamka.
Hata Nape aliwahi kutoa siku tisini kwa mafisadi kujivua gamba, akapongezwa... hiyo ilikuwa mwanzoni mwa mwaka 2011 na leo ni Februari mwaka 2012 lakini wimbo bado ule ule! Kweli mtu anaweza kukata tawi alilolikalia? ili iweje?
 
Kwani hapo tatizo liko wapi? Je kama makala za gazeti husika ilikuwa ni sehemu ya indicators zake katika kupima ubora?
Vp kama indicator hiyo imefanya vizuri na kulipa credibilties uhuru? Ulitaka afiche matokeo?

Credibility ipi unayozungumzia?we nyeusi ama nyeupe huijui?
Hoja ni mfuu.
Unamsifia mzazi kwa kuleta nyama nyumbani wakati ndio majukumu yake?
 
usitishike sana na hoja mfu, kwani hata nchi yetu kwa sasa ni mfu lakini bado tunaipigania, hata wananchi ni kama wafu lakini bado tuna matumaini juu yao.
Tatizo lako unabisha kwa kuwa you are love with ubishi, pitia upya majibu yako kwa posts za members, utajua nini namaanisha.
Just relax son, usikaze sana hiyo misuli ya shingo yako.
 
We huna hoja,unauza msimamo wako kwa makala ya siku moja?

Unatofati gani na mtu anayeuza kura yake kwa sahani moja ya wali na kupata mahangaiko ya miaka mi5?
Shame on u.
 
Son, just easy your mind and relax, ni wapi umeona tumetoa au nimetoa msimamo? comments zetu zinatoa pongezi kwa good move, if its a new start......unataka nisimpongeze mtu kwa kufanya vizuri mitihani yake ya semister au kumaliza mwaka mpaka apate cheti ndiyo nimpongeze? hapana my son sidhani kama unamaanisha hivyo!
It seems kwako ni rahisi sana kumshambulia mto badala ya ku deal na hoja, anyways amini unachotaka, shambulia hoja au mtu, Im out of this debate.
 
Ni vizuri ukasepa mana unanikosea heshima mzee wako.
 
Back
Top Bottom