kinetiq01
Member
- Aug 25, 2006
- 49
- 0
Kuna nafasi tatu za kujaza, kama asipofanya recycle kuwarudisha mafisadi kwa kisingizio kwamba walijiuzulu wenyewe lakini bado 'taifa linawahitaji'.
Kwa kuzingatia kwamba kamati nyingine mbili zaidi zinatarajiwa kuwasilisha ripoti zao hivi karibuni, Madini na BOT, ni wazi kwamba baraza jipya litakalotangazwa Jumatatu litaacha nje sura kongwe kadhaa.
Kabla sijataja wale watakaotupwa nje, kwa upande wa mawaziri wapya tutarajie sura ngeni kabisa ikiwa ni pamoja na Martha Mlata mbuge kutoka Singida na shujaa Harrison Mwakyembe[anapewa meno].
Sababu kubwa zaidi ya kuchukua hatua hiyo ni kwamba idara ya usalama itamshauri rais asiwateue wahusika kuepusha adha ya kurudia kazi endapo majina yao yataibuka kwenye hizo ripoti mpya.
Lakini sababu nyingine, baadhi ya hawa mawaziri utendaji wao unalalamikiwa hata na wananchi wa kawaida.Nadhani tunakumbuka ripoti ya REDET iivyosema.
Kwa maana hiyo basi, naomba niwasilishe baadhi ya majina ya mawaziri wa zamani ambao wako hatarini kupigwa panga - kama wasipopigwa panga basi watahamishwa wizara zao kutokana na udhaifu kwa njia moja au nyingine.
Minister for Home Affairs - Joseph James Mungai[Close business associate of shamed former PM and co.]
Minister for Finance - Zakia Hamdani Meghji [BOT]
Minister for Industry, Trade and Marketing - Basil Pesambili Mramba [BOT] and Madini [remember the Alex Stewart thing?]
Minister for Infrastructure Development - Andrew John Chenge [BOT and Madini - this arrogant beast used to be Attorney General providing legal advice with mindset of a standard five pupil, he should go]
Minister for Health and Social Welfare - Prof. David Homeli Mwakyusa [Complaints about poor health services and corruption].
Minister for Higher Education, Science and Technology - Prof. Peter Mahmoud Msolla [Poor performance].
Minister for Defence and National Service - Prof. Juma Athumani Kapuya [Highly educated but not quite a practical minister]
Minister for Public Safety and Security - Harith Bakari Mwapachu [Failure to root out widespread corruption and crime]
Minister for Community Development, Gender and Children - Sofia Mnyambi Simba [Failed to deliver]
Minister for Livestock Development - Anthony Mwandu Diallo [Too busy with his projects - Community Airline, and his media conglomerate comprising Star TV, Kiss FM, RFA just to name a few; but he can escape on the goodwill of providing support to the ruling party, i would be really sad if he was dropped - he's so industrious].
Tutarajie hollistic changes, sura mpya nyingi na pia baraza litakalokuwa streamlined kupunguza ukubwa na kuongeza efficiency.Ni kama rais anaanza upya kazi yake, manaake itabidi kubadilisha mwanasheria mkuu, mkurugenzi mkuu wa TAKUKURU na idara nyingine nyeti zilizokuwa contaminated na greed ya EDWARD LOWASSA, after all the guy was shaping up his 2015 governement.