nukajua kimya kirefu huja na mshindo na mshindo wenyewe ndo huu kweli wakang'oe tu kwanza hii michezo ya kujaza laini ndani siitaki tena kwa sababu lain zote nnazo ispokua ttcl tu ndo sina na huu umalaya wa mitandao ni hasara tu kwa wallet yangu
pumbaf
Ila quality ya internet yao iko safi people
Hivi Mkuu Smart Imekufa?? Niliiacha Dar Kma Inachomoza Hivi...Ila Huku Nilipo Kuna Airtel Unicredit, Ipo Ya Shs 600 Unapata Dk 60, Sms Bila Kikomo Na Gb 1.2 Kwa Masaa 48. (Siku Mbili) Na Kuna Ya Shs 1500, Unapata Dk 150 Airtel Kwenda Airtel Na Dk 5 Mitandao Yote, Sms Bila Kikomo Na Gb 1 Kwa Siku 7. Pia Kuna Ya Shs 6000 Unapata Dk 500 Airtel Kwenda Airtel Na Dk 20 Mitandao Yote, Sms Bila Kikomo Pamoja Na Gb4 Hii Ni Kwa Mwezi.
Ila quality ya internet yao iko safi people
Hata mie sikutegemea waje kwa style hii hasa kwenye internet bundle unless speed yao iwe ni ya kasi maeneo yote maana mitandao hii tuliyonayo kuna maeneo mengi hasa mikoan unauta ukiwa kaeneo flani internet safi ukirudi nyumbani au sehemu zingine unakuta network ya kusikiliziaKwa mtandao mpya sikutegemea kama wangekuja kwa style hii. Kama hawatabadilika watakua kama Smart
Hivi Mkuu Smart Imekufa?? Niliiacha Dar Kma Inachomoza Hivi...Ila Huku Nilipo Kuna Airtel Unicredit, Ipo Ya Shs 600 Unapata Dk 60, Sms Bila Kikomo Na Gb 1.2 Kwa Masaa 48. (Siku Mbili) Na Kuna Ya Shs 1500, Unapata Dk 150 Airtel Kwenda Airtel Na Dk 5 Mitandao Yote, Sms Bila Kikomo Na Gb 1 Kwa Siku 7. Pia Kuna Ya Shs 6000 Unapata Dk 500 Airtel Kwenda Airtel Na Dk 20 Mitandao Yote, Sms Bila Kikomo Pamoja Na Gb4 Hii Ni Kwa Mwezi.
Hivi Mkuu Smart Imekufa?? Niliiacha Dar Kma Inachomoza Hivi...Ila Huku Nilipo Kuna Airtel Unicredit, Ipo Ya Shs 600 Unapata Dk 60, Sms Bila Kikomo Na Gb 1.2 Kwa Masaa 48. (Siku Mbili) Na Kuna Ya Shs 1500, Unapata Dk 150 Airtel Kwenda Airtel Na Dk 5 Mitandao Yote, Sms Bila Kikomo Na Gb 1 Kwa Siku 7. Pia Kuna Ya Shs 6000 Unapata Dk 500 Airtel Kwenda Airtel Na Dk 20 Mitandao Yote, Sms Bila Kikomo Pamoja Na Gb4 Hii Ni Kwa Mwezi.
Yap Ahueni Ipo Sanaa Na Mb Za Airtel Sio Kma Za Tigo, Unatumia Mpka Muda Wa Kuisha Unafika Bado Zipo!! Mkuu Zipo Dom.Mkuu hizo vocha zinapatkana maeneo gani , nimeona wana ahueni ktk data
nimeviangalia havina tofauti yoyote na tigo ndo vile vile tu zikitofautiana ni mb chache na wameiga kale ka katabia ka tigo kusema kifurushi ni unlimited kumbe wanamaanisha unlimited speed. kwa faida ya wengine
internet siku
-sh 250 utapata mb 50
-sh 500 utapata mb 200
internet wiki
-sh 2000 utapata mb 400
-sh 3000 utapata mb 600
internet mwezi
-sh 2000 utapata mb100
-sh 5000 utapata 1gb
-sh 10,000 utapata 3gb
vifurushi hivyo hapo juu hawajasema kitu, kuna vifurushi ambavyo wanaviita unlimited
-sh 1000 utapata mb800 kwa siku
-sh 5000 utapata gb 1 kwa siku
-sh 15,000 utapata gb 2 kwa mwezi
-sh 25,000 utapata gb 5
mpaka hapo juu tayari wameshafeli, mtandao mpya ila vifurushi bora ya hao wa zamani.
vifurushi vya maongezi
hapa pia hamna jipya, labda hizo mb kuongezeka toka mb1 hadi 3
1. vya siku
-sh 400 unapata dk 6 sms 50 na mb3
-sh 600 unapata dk 12 sms 500 na mb5
-sh 800 unapata dk19 sms 1000 na mb8
2. vya wiki
-sh 2000 unapata dk30 sms 300 na mb60
-sh 4000 unapata dk 100 sms 1000 na mb60
-sh 10000 unapata dk 200 sms 1000 na mb60
*aliepanga hivyo vifurushi pia hakutumia akili hapa ukijiunga vifurushi viwili vya wiki vya 4000 kwa jumla ya 8000 unapata dk200 sms 2000 na mb120 ambazo ni nyingi kuliko kifurushi cha 10,000 kwa wiki. hivyo kifurushi cha 10,000 ni useless
3. vya mwezi
-sh 10,000 unapata dakika 160 sms 1500 na mb80
-sh 15,000 unapata dakika 300 sms 2500 na mb 300
-sh 20,000 unapata dakika 400 sms 3500 na mb 300
-sh 30,000 unapata dakika 550 sms 5500 na mb 500
-sh 50,000 unapata dakika 1000 sms 3000 na gb 1
*hapa pia ukinunua vifurushi viwili vya 15,000 unapata dakika 600, sms 5000 na mb 600 ambavyo ni vingi kuliko kifurushi cha 30,000 hivyo inafanya hicho kifurushi kisiwe na maana.
*hivyo hapo juu ni vifurushi vya mitandao yote mi si mpiga simu sana hivyo siwezi coment.
nimependa tu hawa jamaa wamekuja kutukumbusha basi letu jekundu liliopinduka zamani
je unafkiri Halotel wameleta mabadiliko?
Mkuu Mb Za Tigo Ni Tofaut Na Za Airtel, Za Tigo Zinaisha Fastaa Sanaa Kuliko Za Airtel. Huku Mimi Natumia Za Voda Na Airtel Wapo Vizuri Kwenye Spid Na Mb Zao Hazichomok Sanaa Kma Za Tigo.Smart wapo ila hawajapanuka au hawataki huko kupanuka.
tigo pia wana kifurushi cha shilingi 5000 cha mwezi mzima sijui content yake ya dakika ila ni masaa mengi tu na sms zaidi ya 10,000 na mb800,
Mkuu Mb Za Tigo Ni Tofaut Na Za Airtel, Za Tigo Zinaisha Fastaa Sanaa Kuliko Za Airtel. Huku Mimi Natumia Za Voda Na Airtel Wapo Vizuri Kwenye Spid Na Mb Zao Hazichomok Sanaa Kma Za Tigo.
Tigo Speed Wanayo Pia, Ila Mb Zao Hazikai, Tofaut Na Voda Na Airtel.mb zote ni sawa maybe Tigo wana speed sana kwako, kuna baadhi ya site kama Youtube wanakupa content kutegemeana na speed yako
Yap Ahueni Ipo Sanaa Na Mb Za Airtel Sio Kma Za Tigo, Unatumia Mpka Muda Wa Kuisha Unafika Bado Zipo!! Mkuu Zipo Dom.
Asa mbona hawajanishawishi niache hii mitandao ninayotumia, sijui wametumia akili ya wapi hawa watu..!