Uchambuzi vifurushi vya halotel

Ngoja tukomae na wazee wetu tigo na voda na Airtel hawa wengine awaaminiki sasatel wameishia Wapi ?
 
Sijaona mabadiliko yeyote hapo.

Nikiwa na vodacom napata MB 700 kwa 1000 tena bila kikomo japo speed inapungua.

Na hiko cha maongezi napata DK 26, SMS 500 na MB 60 kwa 1999.

Kwahiyo siwezi kuhama vodacom kwa style hii.

wanachoniuzi voda msg za goodnight kuzipokea asubuhi
 

Hamna kitu ni ghali sana vifurushi vyao, nilipoiweka line yao vimb vya vilipokata na line nikaweka pembeni, hawana hata wellcome form one?
 
Bora nibaki airtel tshs 3000 napata Gb1 kwa wiki.

Sijashawishika hama mtandao wangu..
 
Kuna cha 1500 unapata GB 1 na dk za airtel na mitandao mingine...ila mpaka upate vocha za UNI....
Hata Wao Sasa Hivi Wana Vifurushi vya University..

7GB kwa Sh 9999 kwa Mwezi
1GB kwa Sh 1500 kwa Wiki
500MB kwa Sh 500 kwa Siku
300MB kwa Sh 350 kwa Siku
 
Hata Wao Sasa Hivi Wana Vifurushi vya University..

7GB kwa Sh 9999 kwa Mwezi
1GB kwa Sh 1500 kwa Wiki
500MB kwa Sh 500 kwa Siku
300MB kwa Sh 350 kwa Siku


uni ya airtel ipo tofauti na wengine wao ni vocha tu wakati mitandao mengine hadi usajili wa line au uwepo ndani ya eneo la chuo.

unaweza pitia cbe pale ukanunua hata vocha 100 then ukasafiri ukatumia taratibu mwaka mzima.

na pia bundle zao nzuri kwa sh 600 unapata 1.2gb kwa siku 2 na dakika na sms za kutosha.
 
hawa airtel wangeimarisha huduma zao za internet mikoani wangebaki kuwa mtandao bora kabisa kwa upande wangu tatizo lao ni hiyo internet mpaka maeneo ya mjini ndo una enjoy
 
mtandao gani unaanza hata hauna miezi miwili , wananza na vibandle vya mb 3, hamna hata kukaribishana
 
Halotel nawaonea huruma. Wamekosa kitu kinaitwa market entry strategy. Wamekuja as if walikuwepo tangu zamani. Kwa kifupi wamevamia msitu na kiwembe mkononi.
Nikiwa mtaalamu wa masoko nilitegemea wafanye yafuatayo:
1. Wangeanza na marketing/consumer survey ili wajue ni nini watumiaji wa simu wanahitaji lakini hawakipati kwa hawa 3 giants.
2. Wangehakikisha wanakuja na bidhaa/vifurushi ambavyo ni differentiated yaani vitofautiane na vile ambavyo tayari viko sokoni.
3. Au kama tatizo ni bei, basi wangekuja na bidhaa za bei nafuu kuliko zilizoko sokoni. Hili lingewezekana kwa wao kujitahidi kupunguza gharama za uzalishaji ikiwemo matumizi ta technolojia ta kisasa zaidi.
4. Mbinu nyingine ambayo pia wangeweza kuitumia ni kulenga wateja au soko ambalo bado halijafikiwa na hawa 3 giants.

Ningeweza kuandika mengi lakini naachia hapa kwa leo.
 
Last edited:
Nimekubali moderm zao tu downloading speed 21mbps, na uploading speed 19.3mbps kwa sasa nadhan ndo moderm zenye kasi zaid ya mitandao mingine
 
Unadhani wao hawajui hayo unayosema? Mi nadhani jamaa watakua wamebanwa na hawa wenzao. Si unajua oligopoly tena na hao TCRA wamekamatwa vichwa na Vodacom sijui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…