pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,636
- 6,261
Mi CCM ikisikia hivi ndo hawatakubali katiba mpya kabisaa, Zambia kabla kaunda hajakubali mabadiliko nayo ilikua Kama CCM tu bahati nzuri yeye alikubali mabadiliko ya vyama vingi sambamba na tume huru ya uchaguzi.