Hayawi hayawi sasa yamekuwa.
Leo ndo leo na asiye na mwana aeleke jiwe.
Leo ndo siku pekee ambapo dunia nzima husimama kuzunguka kwenye mhimili wake hadi hapo uchaguzi wa taifa bora kabisa katika historia ya uhai.
Hata wale wanaojifanya kuiponda USA leo wataacha kufanya yao yote na kutega masikio na macho yao kusikilizia na kuona nani atachinjwa na vichinjio vya Wamarekani.
USA ndo dunia na dunia ndo USA. Hilo halina mjadala.
USA baby View attachment 430983 View attachment 430984 View attachment 430985
Ah ah ah ah ahWabeba box mnapiga kura pia?
Hivi ni lini na sisi TANZANIA uchaguzi wetu utasimamisha dunia ..
Siku ukija kuchapwa risasi kadhaa za shingo na the USA cops ndo utakuja kuisifia vizuri hiyo USA baby...
Siku ukija kuchapwa risasi kadhaa za shingo na the USA cops ndo utakuja kuisifia vizuri hiyo USA baby...
Yaani mpk leo usa mnapiga kura kwenye kituo. Technology yote hii! Ingebidi watu wapige kura majumbani kwao tu. Bado sanaaaaaaaa
Waulize wachina vizuri watakufahamisha! Nimewavua vyeo vyote kuanzia leo!! Manual sanaaaaaa usa!Akina nani au wapi huko wapigapo kura majumbani mwao?
nani kashinda wajameni au bado matokeo?lol
Waulize wachina vizuri watakufahamisha! Nimewavua vyeo vyote kuanzia leo!! Manual sanaaaaaa usa!
Si ndio mnao waogopa wasije wakawavulugia matokeo kwa jinsi mlivyo shallow shallow kwenye hiyo nyanja!Wachina na chaguzi wapi na wapi?
Si ndio mnao waogopa wasije wakawavulugia matokeo kwa jinsi mlivyo shallow shallow kwenye hiyo nyanja!