Uchaguzi wa USA Leo

Uchaguzi wa USA Leo

Hayawi hayawi sasa yamekuwa.

Leo ndo leo na asiye na mwana aeleke jiwe.

Leo ndo siku pekee ambapo dunia nzima husimama kuzunguka kwenye mhimili wake hadi hapo uchaguzi wa taifa bora kabisa katika historia ya uhai.

Hata wale wanaojifanya kuiponda USA leo wataacha kufanya yao yote na kutega masikio na macho yao kusikilizia na kuona nani atachinjwa na vichinjio vya Wamarekani.

USA ndo dunia na dunia ndo USA. Hilo halina mjadala.

USA baby View attachment 430983 View attachment 430984 View attachment 430985

Jirani unaamsha mapepo ya watu yaliyolala
 
Jirani unaamsha mapepo ya watu yaliyolala
Cheki backyard ilivo kijani....amigo alikuja kunifanyia mambo juzi.

Hapa nilipo nachoma nyama tu na Heineken zangu pembeni.

1478619053220.jpg

USA baby
 
Clearly English is not your strong suit.
I started learning English for the first time in 2013,[Before that I could not utter more than ten English words]

I have never been in a formal school even for a single day where I could learn English language as a subject.

Besides it all, I have been living in a non-English speaking countries[However partially in TZ].....I am trying harder to master the language before I start learning two or three more Inter'nal languages.

So your guess is completely right and I'm proud of minor mistake that I make regularly cause it shows me where am I supposed to work on.
 
I started learning English for the first time in 2013,[Before that I could not utter more than ten English words]

I have never been in a formal school even for a single day where I could learn English language as a subject.

Besides it all I have been living in a non-English speaking countries[However partially in TZ].....I am trying harder to master the language before I start learning two or three more Inter'nal languages.

So your guess is completely right and I'm proud of the minor mistake that I make regularly cause it shows me where am I supposed to work on.

Okay Kitty.
 
Hivi ni lini na sisi TANZANIA uchaguzi wetu utasimamisha dunia ..
 
Tumeshazoea kuona kwenye chaguzi nyingi zinazofanyika wasimamizi mbalimbali wa kimataifa kutumwa kwenye nchi Husika kuangalia kama Chaguzi zinakua za Haki.

Na kule USA wametumwa Kuangalia kama upigaji wa kura utakua wa Haki?
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa.

Leo ndo leo na asiye na mwana aeleke jiwe.

Leo ndo siku pekee ambapo dunia nzima husimama kuzunguka kwenye mhimili wake hadi hapo uchaguzi wa taifa bora kabisa katika historia ya uhai.

Hata wale wanaojifanya kuiponda USA leo wataacha kufanya yao yote na kutega masikio na macho yao kusikilizia na kuona nani atachinjwa na vichinjio vya Wamarekani.

USA ndo dunia na dunia ndo USA. Hilo halina mjadala.

USA baby View attachment 430983 View attachment 430984 View attachment 430985
Nilijua wewe mtz mwenzangu kumbe ni mu usa?
 
Back
Top Bottom