Uta Uta
JF-Expert Member
- Feb 2, 2016
- 3,740
- 8,765
Umekaa mita 200 lakini?Niko hapa nalinda kura za Trump
Naskia harufu ya kuibiwa
Umekaa mita 200 lakini?Niko hapa nalinda kura za Trump
Naskia harufu ya kuibiwa
Ndio wapi hapo kwenye Uchaguzi?We mwenyewe uko hapa kwenye uchaguzi wa USA....
FOH
Ndio wapi hapo kwenye Uchaguzi?
Baflesho
Democrasia wakati Trump keshasema hatokubaliana na Matokeo!!😀Nyamaza, kaa chini ushuhudie demokrasia in action.
Democrasia wakati Trump keshasema hatokubaliana na Matokeo!!😀
Democrasia ni wingi wa watu sasa huko ni tofauti kabisa
Kwani kinachozungumziwa kimebadilika hadi Ushangae? Soma Heading and then tuendelee...Matokeo yepi?
Kwani kinachozungumziwa kimebadilika hadi Ushangae? Soma Heading and then tuendelee...
bora ashinde Trump afurushe wakimbizi wote wa Kizaramo warudi huku Tandale kwetu.Hayawi hayawi sasa yamekuwa.
Leo ndo leo na asiye na mwana aeleke jiwe.
Leo ndo siku pekee ambapo dunia nzima husimama kuzunguka kwenye mhimili wake hadi hapo uchaguzi wa taifa bora kabisa katika historia ya uhai.
Hata wale wanaojifanya kuiponda USA leo wataacha kufanya yao yote na kutega masikio na macho yao kusikilizia na kuona nani atachinjwa na vichinjio vya Wamarekani.
USA ndo dunia na dunia ndo USA. Hilo halina mjadala.
USA baby View attachment 430983 View attachment 430984 View attachment 430985
bora ashinde Trump afurushe wakimbizi wote wa Kizaramo warudi huku Tandale kwetu.
Watakuja kutusumbua bora awapeleke guantanamobora ashinde Trump afurushe wakimbizi wote wa Kizaramo warudi huku Tandale kwetu.
Atawapeleka AllepoAlikwambia akishinda atawafukuza wahamiaji wote?
Team member, tuko pamojaMatumaini yetu tunashinda kwa kishindo hata kwa bao la mkono![]()
**Team Trump**
Atawapeleka Allepo
Mengine yako humuWatakuja kutusumbua bora awapeleke guantanamo
Trump atashinda na kurudisha hawa nyani kule nyumbani
Hakuna update yoyote