Iyegu
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 6,276
- 12,424
SawaUSA hana chama.
Yeye ni independent candidate.
USA baby View attachment 431002 View attachment 431003 View attachment 431004
[HASHTAG]#Aisee[/HASHTAG]
SawaUSA hana chama.
Yeye ni independent candidate.
USA baby View attachment 431002 View attachment 431003 View attachment 431004

Akae mita mia kutoka kituo cha uchaguzipiga kura ukimaliza utupe maendeleo ya uchaguzi

ohoo sahizo ntakuwa napata cha usiku.......huku namshangilia 'rahisi mpyaMasaa 10 kutoka sasa kitaeleweka tu.
USA baby View attachment 431005 View attachment 431006 View attachment 431007
ohoo sahizo ntakuwa napata cha usiku.......huku namshangilia 'rahisi mpya
USA kinda! Usiache kutupa mrejesho wa kile kinachoendelea🙁Hayawi hayawi sasa yamekuwa.
Leo ndo leo na asiye na mwana aeleke jiwe.
Leo ndo siku pekee ambapo dunia nzima husimama kuzunguka kwenye mhimili wake hadi hapo uchaguzi wa taifa bora kabisa katika historia ya uhai.
Hata wale wanaojifanya kuiponda USA leo wataacha kufanya yao yote na kutega masikio na macho yao kusikilizia na kuona nani atachinjwa na vichinjio vya Wamarekani.
USA ndo dunia na dunia ndo USA. Hilo halina mjadala.
USA baby View attachment 430983 View attachment 430984 View attachment 430985
hahahaha hahaha chakula ngabuHicho 'cha usiku' ni kauli tata....
mbeba mabox mwenzioHApo ni spagetti? kumbe wewe wa huku?
Mkuu nimetoka juzi tu uko napamisi sana ebana US ni noma
HApo ni spagetti? kumbe wewe wa huku?
Mkuu nimetoka juzi tu uko napamisi sana ebana US ni noma
You're very fanatical abt the U.S.....Hayawi hayawi sasa yamekuwa.