Elections 2010 Uchaguzi wa Spika wa bunge la 10 la Tanzania

Anna abdalaah anaonyesha ni jinsi gani hakufaa kuwa spika.

Kuna mbunge anakalishwa chini kwa kutaja jina la Sitta (Ni Tundu Lissu)
 
Wametukatia umeme lol! Sijui wanachakachua na hili? But tks to JF tunapata vitu live
 
Swali la pili Atamentain standard na speed. Yeye anaongeza pia litakuwa bunge la wananchi
 
Mama kamaliza kwa kuomba kura
Anaenda kukaa, hatatoka sbb ni mbunge.
Marando sasa
 
Vipi sita a.k.a mpigania haki anaonekana mjengoni? Kuna gazeti limeandika hajaonekana jana kwenye uchaguzi wa spika wa CCM
 
Marando anasema ataongoza kwa ufanisi na kutegemea taaluma, kwa kutumia sheria sababu yeye ni mwanasheria.
Anaahidi kulinda sheria na katiba na kuwapa wabunge uhuru wa kujieleza
 
jameeeeeeni eheeee, endeleeni basi kutumwagia yanayojiri bungeni? wengine tupo maofisini
 
Marando atatetea uhuru wa bunge na hatapendelea sababu anatambua uwingi wa wabunge wa CCM hivyo atabalance
 
Ameshajieleza sasa maswali:

nimeamini sasa hawa wabunge wa kuteuliwa wa CCM kweli wanakibeba.....wanashangilia swali aliloulizwa la kutafsiri sheria....naona Marando anajibu kiufasaha kabisa...kwamba spika alishawahi 'kutoa hukumu'
 
swali kwa Nyaucho: Marando anaulizwa atatafsirishe sheria wakati huo ni kazi ya Mahakama?
Marando anakumbushia msekwa alivyotafsiri sheria wakati huo, kwa hiyo yeye anachosema ni sahihi
 
Kuna swali linaulizwa na kijana mmoja sijuindo nani kwamba Marando ni mkali............naona limetokea zogo hapa ni kama vile hili swali lilipangwa.....kuna Swali aliulizawa Makinda Anna akalichakachua kwamba mambo yaliyopita yasiletwe hapa ....lakini naona hili ameliruhusu...yale yale...
 
Baada ya nusu saa hivi kuanzia sasa, kikao cha uteuzi wa spika mpya kitaanza hapo Dodoma yeyote mwenye la kuchangia hii thread ndiyo mahali pake..............nitajitahidi kuwaletea dondoo za matukio muhimu kutoka huko Dodoma.......................na kila mmoja ajaribu kufanya hivyo kuwapasha habari wale ambao hawataweza kuona tukio hili muhimu moja kwa moja..................
 
Back
Top Bottom