Uchaguzi wa Mwaka huu hauna mvutooo

Uchaguzi wa Mwaka huu hauna mvutooo

kibori nangai

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
1,815
Reaction score
2,639
Wanajumuia .

Salamu kwenuu

Leo nimetafakari sanaa.

Lkn mwisho wa siku nikagundua UCHAGUZI WA MWAKA HUU HAUNA MVUTOO KABISAAA .

NAONA TUME INAFANYA TUU ILIKUFATA UTARATIBU NA MAELEKEZOO.

HUKO CCM UNAONA WENYE MAAMUZI WENYEWE HAWANA NURU WAPO TUU WAMEPOWA KAMA PIRITON
WAPO TUU KUTIMIZA WAJIBU
 
Hauna mvuto sawa na Zecomedi Ile ya mwanzo

1. Nchi inaongozwa na machawa
2. Nchi inaongozwa na wasio chaguliwa na wananchi, (wapiga kura)
3. Mtu ambaye amepewa ushindi maporini kwanini kwenye kiapo chake atumie Bibilia ama Msahafu

Hitimisho
Ushindi unao tokana na wizi wa kura haufai kuongoza taifa una hasara nyingi sana na ni laana kuapa kwa Bibilia ama Msahafu wakati hukupatikana kwa haki matokeo yake ni R.I.P
 
Wanajumuia .

Salamu kwenuu

Leo nimetafakari sanaa.

Lkn mwisho wa siku nikagundua UCHAGUZI WA MWAKA HUU HAUNA MVUTOO KABISAAA .

NAONA TUME INAFANYA TUU ILIKUFATA UTARATIBU NA MAELEKEZOO.

HUKO CCM UNAONA WENYE MAAMUZI WENYEWE HAWANA NURU WAPO TUU WAMEPOWA KAMA PIRITON
WAPO TUU KUTIMIZA WAJIBU
Uchaguzi ushaisha online kwa mabadiliko ya Katiba ya CCM
 
Leo asubuhi wakati nakatisha kwenye mataa ya mwenge nilkuta polisi wengi sana wakiwa tayari kwa mapambano.
walikuwa wamevalia sare zao na wamesimama kwenye taa wakiwa na gari yao, huu ni muda mfupi sana baada ya IGP wambura kupita na msafara wake.
polisi wale waliojiandaa na silaha nzito walikuwa wanajiandaa kupambana na waandamanaji wasiokuwepo. wananchi waliwashangaa na kuendelea na hamsini zao. jambo hili linatafakarisha sana
baada ya kupita pale nikawa najiuliza leo kunanii toba .... nikakumbuka kwamba HAINI LISU kama navyoitwa na watawala analetwa mahakamani?
NILICHOGUNDUA, WATAWALA WANAOGOPA SANA SAUTI ZA WATU HASWA WALIOKATA TAMAA
 
Ukiona kwa Jirani ulinzi ni mkali inamaanisha kwako hakuko salama
 
Back
Top Bottom