Uchaguzi wa Meya Ilala: CCM wasusa na kutoka nje, wapata kura 0 na UKAWA 31

Ajabu na kweli CCM wamepata kura 0 uchaguzi wa Meya na Naibu Meya Ilala. Hii ni aibu kwa chama kikongwe kukimbia uchaguzi na kupata sifuri.
 
Ajabu na kwl CCM wamepata kura 0 uchaguz wa meya na naibu meya Ilala.. hii ni aibu kwa chama kikongwe.kukimbia uchaguzi na kupata sifuri aka yai
 
Watakimbia sana mwaka huu ukiona Dar imeondoka kwa mkoloni CCM basi ujue nchi karibu itaondoka mikononi mwaka Mkoloni mweupe.Harakati za kudai uhuru ziposhika kasi Dar Mkoloni mweupe alikabidhi nchi bila kupenda.
 
safi sana wamekimbia baada ya kuona hawawez shinda na figisu wameshindwa pia
 
  • Thanks
Reactions: SIM
Back
Top Bottom