Uchaguzi wa Meya Ilala: CCM wasusa na kutoka nje, wapata kura 0 na UKAWA 31

K
Acha Waisome namba, ee!!!!!...ccm mbele kwa mbele

hahaha... Huu wimbo mtam sana...unakata kote kote
kuna wajanja walikwenda kwa Magufuli kumshawishi awape pesa za kununulia goli la mkono ili wawanunue madiwani wa Chadema na kuchakachua matokeo lakini Magufuli kawashitukia kutokana na kujua kuwa Hiyo pesa inaenda kupigwa na haitafanya kazi, sasa wameamua kuikomoa ccm ili Magufuli awaone walikuwa na haki.
 
CCM wapuuzi sana...kwa hiyo wanamkomoa magufuri?..

Vita ya Mafisiem....Neema kwa UKAWA
 
Duh sasa ambao wamekuwa wakiwalaumu wapinzani kutoka Bungeni leo wenyewe wametoka!????? Ahaaa basi naamini wapinzan wako sahihi sana.
 
Wakutana na Watoto Wa mzizima mi ccm hoi mpaka wanayatia nguo zao nendeni vijijini muabuluze mnavyotata
 
  • Thanks
Reactions: SIM
Baada ya mvutano mkali unaoendelea wabunge wa CCM wa ilala wametoka nje kususia uchaguzi.

Matokeo ya Umeya Ilala,

1. Charless Kuyeko (UKAWA) kura 31,
2. Heri Kessy (CCM) kura 0.

Chanzo ITV
samahani mkuu naomba tufafanulie vizuri,walitoka nje kabla au baada ya uchaguzi,kinachonishangaza ni hii 0,ina maana hata ccm walipigia ukawa?
 
Hili la kususia vikao CCM leo imekua ni zamu yao ukiwauliza watakuambia ni sehemu ya demokrasia ila UKAWA wakisusia wataambiwa ni utoto.
 
Hili la kususia vikao CCM leo imekua ni zamu yao ukiwauliza watakuambia ni sehemu ya demokrasia ila UKAWA wakisusia wataambiwa ni utoto.
Labda ndio mabadiliko waliyokuwa wanasema ccm, wakati wanaiga wakaamua ku copy kila kitu hata kutoka nje. Subiri utaona hata Dodoma watatoka sana.
Sema sababu ndio zaweza kuwa za kijinga, mfano alhamisi PM akitwangwa maswali magumu basi wanasusia kikao
 
Back
Top Bottom