Mhina Martin
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 202
- 261
Habari wadau wa kilimo poleni na majukumu, misimu ya kilimo hii kama tunavyojua kipindi hichi kumezuka mbolea nyingi sana za makampuni tofauti tofauti za vimiminika (booster) ,na wakulimu tunazitumia na
Tunaona ubora wake naomba tushare uzoefu wa booster nzuri ulioyoitumia na kuletaa matokeo chanya kwa kiwango kikubwa katika mazao uliyolima ili wakulima wengine wapya wapate la kujifunza Nakaribisha mawazo.