Uchaguzi wa majimbo matatu kuchukua zaidi ya 12 billioni

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
1,533
2,000
Nimesoma katika gazeti leo kuwa Chaguzi katika majimbo ya Monduli, Ukonga na Korogwe zimechukua zaidi ya Tshs.12 billioni. Bado nashangaa na siamini macho yangu kama hayo Majimbo matatu yanaweza kuchukua idadi hiyo ya fedha. Kati ya Jimbo dogo ni la Monduli ni wazi haiwezi kuchukua Tshs.4 billioni. Fedha za umma lazima zitumike kwa kufuata sheria na taratibu. Ni wakati muafaka matumizi ya hizi fedha zifuatiliwe na mamlaka kama TAKUKURU na Wananchi tupewe mrejesho.
 
Tyetyetye

JF-Expert Member
Dec 3, 2014
900
1,000

Takukuru anafuatilia upinzani tu, ni tawi la ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndachuwa

JF-Expert Member
Mar 8, 2006
6,088
2,000
Nimesoma katika gazeti leo kuwa Chaguzi katika majimbo ya Monduli, Ukonga na Korogwe zimechukua zaidi ya Tshs.12 billioni. Bado nashangaa na siamini macho yangu kama hayo Majimbo matatu yanaweza kuchukua idadi hiyo ya fedha. Kati ya Jimbo dogo ni la Monduli ni wazi haiwezi kuchukua Tshs.4 billioni. Fedha za umma lazima zitumike kwa kufuata sheria na taratibu. Ni wakati muafaka matumizi ya hizi fedha zifuatiliwe na mamlaka kama TAKUKURU na Wananchi tupewe mrejesho.
Uchumi unakuzwa na "Government spending"
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom