uchaguzi udom wachafuka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

uchaguzi udom wachafuka

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by namboyo, May 1, 2011.

 1. n

  namboyo Member

  #1
  May 1, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kijana ambaye kwa jina anaitwa mwaisiga thobiasi na abubakiri bashi wamechafua hali ya uchaguzi udom.vijana hawa wakiwa wananadi sera katika chuo cha elimu na chuo cha sayansi ya jamii wamezomewa huku wakiambiwa hutupigi kura uchaguzi sio huru.mwasiga ambaye alikua ananadi sera katika eneo la block q alizomewa na waalimu watarajiwa akiambiwa mtoa matamko ya kijinga huyu kijana ni yule aliyetoa tamko la kulani wabunge wa chadema akidai kuwa msemaji wa serekali kumbe sio msemaji wa serekali .pia bashi anatuhumiwa kutumwa na mmoja wa mafisadi nawasilisha kwa wana udom
   
 2. kaole

  kaole JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 237
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jifunze kuandika
   
 3. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Who cares?
   
 4. n

  namboyo Member

  #4
  May 1, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ngoja wataona joto ya jiwe hawa vijana uchaguzi sio kitu watangombea je uongozi wa federation alafu informaticts hawapo wala hutupigi kura kukaribisha ufisadi udom
   
 5. Du Bois ideas

  Du Bois ideas JF-Expert Member

  #5
  May 1, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 428
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Shida ni nini?
   
 6. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,726
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Kama ni yule mwehu aliyejifanya muwakilishi wa UDOM kuwalaani CHADEMA kumzomea tu haimtoshi,mkamateni mumfunge jiwe la kusagia mkamtupe kwenye vilindi vya bahari.
   
 7. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  we shoga bado upo?
   
 8. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #8
  May 1, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  I hate these nasty words honestly! twende kwa hoja wakuu!
   
 9. n

  namboyo Member

  #9
  May 1, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hatutaki kusikiliza mtu wote hawafai hatu wakurugenzi wa uchaguzi wamechachuliwa wote hututaki ushauri wako mshauri baba yako aoe mke mwingine labda atazaliwa mtoto mwenye msimamo kama wetu hatuchaguliwi wagombea sisi ndio wapiga kura wala hutukurupuki.kama unataka omba kusoma udom ili uje kupiga kura umchague mwasige au bashi
   
 10. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #10
  May 1, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tunaangalia
  uwezekano wa kwenda kuuzuia
  uchaguzi wote wa udoso na
  college zake mahakamani siku
  yoyote kuanzia kesho kutokana
  na sababu zifuatazo
  1.college of informatic
  imefungwa
  hivyo watu zaidi ya 1200
  watakosa haki yao ya
  kidemokrasia kuchagua rais wa
  federation.
  2.vigezo wanavyotumia kupitisha
  wagombea vinakinzana na
  demokrasia
  3.katiba mpya ya udoso kisha
  ndio ufanyike uchaguzi
  n.b: nimeshawasiliana na
  mwanasheria wangu kwa ajiri ya
  taratibu zote.!
   
 11. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #11
  May 1, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wamepita bila kupingwa? maana huenda hata kufukuzwa ni plan yao huwezi kujua
   
 12. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #12
  May 1, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  WANAFUNZI CHUO KIKUU CHA DODOMA HONGERENI SAAAAAAAAANA KWA KUGUNDUA, KUAMUA KUISIMAMI NA KUHIFADHI 'HAKI NA UHURU WA KUCHAGUA' KIONGOZI UMPENDAYE CHINI YA MAZINGIRA MARIDHAWA KIDEMOKRASIA PALE TULIKOSHINDWA KAMA TAIFA!!!!!!!!

  UDOM hongereni sasa kwa uamuzi wenu wa KUTAMBUA, KUILINDA NA KUHIFADHI KITU 'HAKI NA UHURU WA KUCHAGU katika uchaguzi wenu unaotazamiwa.

  Sisi wengine huku uraiani tuliufeli huo mtihani vibaya mno hadi kule WAHISANI WA NDANI YA NCHI kujiamulia kushusha toka 'mbinguni' aina ya viongozi, sawa tu na AKINA MWAISIGA THOBIAS wa ulimwengu huu, ambao busara zao ziliwajulisha kwamba watatufaa sana katika ngazi mbali mbali za uongozi nchini.

  Japo watu mtachukulia jambo dogo hili ninalosema lakini endapo huu ugunduzi wenu mpya hapo Chuo Kikuu Cha Dodoma utaweza kusambaa koooote nchini; mijini na vijijini basi huko tuendako kamwe mtu hatokaa atupachishie KIONGOZI MAMLUKI maana kwa jinsi tutakavyolinda haki zetu hizi chini ya KATIBA MPYA mnamo 2015, wala usipime!!!!!!!!!!!!!!!!

  Mkumbuke sisi wengine huku Uswahilini sasa hivi tuko katika halii hati hati muda wooote kitaifa kwa sababu tu hatukutambua haki zetu na uhuru wa kuchagua hivyo wala hatuna cha kulinda hapa wala kuhifadhi maana tulizidiwa ujanja kwa kuamini saaana watu hadi TUKAPANDIKIZIWA VIONGOZI ambao hata siku moja hatukuwafikiria watuongoze eti kwa jeuri tu ya fedha zao. Jaamae, kule mtu kujichagulia akipendacho rohoni ni raha kweli kweli!!!

  Hata hivyo pamoja na nyinyi kuwa bize katika hatua hiyo ya kuchaguana, msisahau jambo la msingi zaidi linalowafanyeni leo hii mchaguane - ULINZI WA MASLAHI YA UMMA wakati wote kwa kutegemea sana elimu mlioibahatika sawa sawa na jinsi UDSM, vyuo vya elimu ya juu na vyuo vikuu vya Mikoa ya Iringa, Arusha na Mwanza wamekua wakifanya kila mara panapo haja.

  Huku tukiendelea kuwaungeni sana mkono kwa kila hatua mnayojishughulisha nayo katika hili la 'UCHAGUZI HURU NA SAUTI HURU VYUONI', hadi hapa sisi wengine huku JF ni kule tu kuwaombeeni heri, demokrasia zaidi haki, amani na uwazi zaidi zitawale katika kila hatua ya shughuli hiyo muhimu sana.

   
 13. m

  mkuki moyoni Senior Member

  #13
  May 1, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  anachosema genekai sio kuwa muwachague au msikilize,yeye anaungana na mm kuwa humu ndani kumekuwa na watu wasioweza kujizuia, badala ya kujibu au kujenga hoja wao wanatkana tu...hii sio maadili wala huwezi kuwatangulia watu kuwa kiongozi ukiwa na hulka hii....but why UDOM Rostam anaikomalia hivyo? MSIKUBALI AINA HII YA USANII TAFADHALI NENDENI KWENYE VYOMBO HUSIKA MDAI HAKI ZENU, NAHUYO TOBIAS KWANNASIFUKUZWE KABISA AU ADISCONTNUE.
   
 14. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #14
  May 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,437
  Likes Received: 19,796
  Trophy Points: 280
  teh teh ! hawa wtoto wa kata wana mambo kweli kweli
   
 15. n

  namboyo Member

  #15
  May 1, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sawa swala la kwenda mahakamani ni muhimu sana kwa vile tume ya uchaguzi hairuhusiwi kwa kuwa ina mkurugenzi mwaka wa tatu na huyu mkurugenzi wa uchaguzi mwaka wa tatu hana vigezo kwa vile mkurugenzi huyu anamaliza mwaka huu au atuambie kua ataomba kuahirisha mwaka ili aendelee kubaki chuo.alafu pia hata raisi wa federation bwana baisi atuambie kuwa kumbe anaendeleza kambi za mwaka jana .kwa vile huyu jamaa mkurugenzi wa tume mwaka jana walikua kambi moja alikua anagombea nafasi ya uraisi chuo cha elimu na alishika nafasi ya mwisho je mtu atatenda haki pia warudishe milioni kumi na sita walizo iba ndio tufanye uchaguzi .alufu kulipa elfu tano ya udoso kufutwe.wizi mtupu mafisadi hawa wametuibia wanatuletea mamluki wachague vichwa wakashitakiwe sio kutuibia kila siku .alafu wasije wakasababisha vita walianza uchama,ukabila sasa hivi wana agenda ya udini wameanza kusambaza kwenye chuo cha elimu sasa udini ukabila hatutaki pesa zirudi kwanza walete agenda zingine
   
 16. Piere. Fm

  Piere. Fm JF-Expert Member

  #16
  May 2, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,194
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Uchaguz ni batili watuendolee Mwesiga Thobias mwenye fikra mgando na watuondolee Bashe ambaye kafadhiliwa na CCM Pamoja na mafisadi.
   
 17. Mhadzabe

  Mhadzabe JF-Expert Member

  #17
  May 2, 2011
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 1,648
  Likes Received: 715
  Trophy Points: 280
  Pia ni busara kukaa kimya na kusoma hoja za wenzio na sio kubeza jambo usilolijua.
   
Loading...