bashe adodondoka uchaguzi udom | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

bashe adodondoka uchaguzi udom

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by namboyo, May 9, 2011.

 1. n

  namboyo Member

  #1
  May 9, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kijana kutoka nzega abubakari bashe amedondoka kwenye uchaguzi wa serekali ya wanafunzi udom kijana ambaye alipata upinzani mkali kwa mdada ambaye anatoka familia za kawada.vijana wenye hasira walikua wanasema tunampigia dada ambaye hajafanya kampeni kwa vile hana uwezo wa kokodi magari ya kampeni.vijana coed walimuliza maswali akakimbia mwenyewe huku akikimbia sana akisema hawa watoto wa maskini hawana la kupoteze hawana hata pesa laki benki .vijana pia walijitolea kulinda kura za dada ambaye alikua hana mawakala kwa vile hela hela za kuwalipa .baada ya matokeo kuonekana mazuri kwa mtu ambaye hana hata mawakala watu walianza kupiga kelele wakisema zingira ofisi .vijana walilala ofisi za tume wakiogopa kuchakachuliwa na tume .dada hakujua kama atashinda kumbe watu wakichoka kuburuzwa hufanya mambo mazito
   
 2. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  ni bashe yupi huyu! kijana wa RA?
   
 3. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #3
  May 9, 2011
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Hongereni sana UDOM! Bashe anasoma UDOM? Kama ni kweli habari hizi jua kuwa Bashe atakuwa alitumwa kuja kumaliza upinzani UDOM. UDOM pokeeni pongezi zangu za dhati kwa maamuzi mazuri, hiyo ndiyo demokrasia. UDOM, UDSM, ARDHI, na vinginevyo vinaonekana mwimba kwa Thithiemu.
   
 4. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #4
  May 9, 2011
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  The same imetokea CBE Campus ya Dar es Salaam. Kijan mmoja aliyekuwa Vice Presidaa katika serikali iliyopita kaangushwa nambunge wake, mtoto wa Maskini. Kampeni za VP zilikuwa za anasa ya hali ya juu. Mabango ya aghali, usafiri bure kwenda kila campus, vikundi vya Kiduku toka TMK na ngebe kibao. VP alikwisha andaa hata wimbo wa ushindi kama ring-tone. Vijana wakasema HAPANA tena kwa kishindo. Wakampa mtoto wa Maskini. Somo lilikuwa nyuma ya kushindwa kwa VP ni ishara kwa CCM iliyokuwa inampiga tuff
   
 5. d

  daniel.nickson Member

  #5
  May 9, 2011
  Joined: Apr 30, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kazi nzuri, tunapojimarisha kwenye vyuo ndio mwanzo wa chama kuwa na mizizi kila kona ya nchi kwasababu vyuo vinakua na watu kutoka sehemu mbalimbali.
   
 6. n

  namboyo Member

  #6
  May 9, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mdogo wake na husseni bashe yule anayefanya kazi kwa rostam azizi pia hata chenchi alikua nazo
   
 7. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #7
  May 9, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Haaaa Bashe kavuliwa Gamba.....;o;
   
 8. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #8
  May 9, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  deborah gabriel ndo rais wa chuo makamu wake pia ni mdada anaitwa theresia, mh kazi ipo, kura pia zilipigwa kidini but nashukuru hakushinda coz udini ukizidi!!!!!!!!!!!!!!
   
 9. bushman

  bushman JF-Expert Member

  #9
  May 9, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,312
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Operation fagia mafisadi nimeipenda hiyo,mtoto wa maskini kainuliwa watu wamesha choka sana na jeuri ya pesa za wizi mjini hapa
   
 10. k

  kilombero yetu JF-Expert Member

  #10
  May 9, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,007
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  jamaa wa cbe si kashinda kwa kuloga na cdm c walimpa milion 18, kwan unazan hatujui
   
 11. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #11
  May 9, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Mkuu fafanua kidogo hapo kwenye red kabla sijakugongea thanx yangu!!
   
 12. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #12
  May 9, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Unafikiria member wote ni Great Thinker, wengine ni Grease Thinker kama huyo unayetaka afafanue hapo juu
   
 13. m

  massai JF-Expert Member

  #13
  May 9, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  nimeipenda sana hiyo rerult ya udom ,kwakweli inaonesha maana halisi ya kuelimika.nauona ukombozi wa taifa la tanganyika ukiwa mbele ya uso wangu,congratulation to all udom student.
   
 14. M

  Muadhin Member

  #14
  May 13, 2011
  Joined: Jan 30, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mnayajua yaliyotendeka udom au mnayasikia tu? Bashe hakushindwa sababu watu wanataka mabadiliko au wamechoshwa na ufisadi but hao walioingia ndio mafisadi na udini wameeka mbele. Je wataweza kuiongoza udom kwa misingi hiyo?.nani asiejua kuwa wapinzani wa bashe wamemiminiwa pesa chungu nzima ili kuitetea chadema na kanisa?nani asietambua kardinal pengo kakaa mwezi mzima dodoma kuhakikisha udom inaendelea kuongozwa na kanisa.ikiwa alishindwa kupiga kampeni ataongoza vipi udom?wakristo wamemchagua kwa kuwa ni mwenzao but si kwa kuwa anaweza na mtayaona wenyewe.mimi nasema acheni ulimbukeni na mtambue ukweli na kuufuata msiweke ubinafsi na udini mbele.na kama hamuamini mtayaona.mmeshindwa kumnenepesha dk slaa mpaka analalamika anapewa hela kidogo mnataka kuwapotezea wanafunzi malengo yao?wangapi washafukuzwa chuo kwa upuuzi wenu?je kanisa na chadema imewasaidiaje?
   
 15. A

  Alakara Armamasitai Verified User

  #15
  May 14, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 415
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  wewe unaongea je ulikuwa udom au unaleta umalaya wako wa idea ni ulize mimi mkurugenzi wa uchaguzi ambaye ni ndio kaharibu kila kitu mfano nani asiyejua asali aliwaambia waislam waje wachukue form kwa sababu yeye ni mkurugenzi hivyo atawapitisha pia nani asiyejua kuwa waislam walibandika matangazo huko college of education kuwa twendeni tukawapigie waislam wenzetu kura kwani wakirsto hawatapigia nani asiyejua kuwa kesi ipo polisi baada ya waislam kumpiga mkirsto aliyehoji kwanini waislam wanabandika matangazo yanayodhihirisha udini wasi wasi sasa huyu anajiita maudhin eti chadema wamewapa hela,eti pengo alikuwa dodoma akishughulikia suala la udom kuhakikisha wakirsto angalia ulivyompumbavu ukasahau kuwa baada ya waislam kuleta udini ulidhirika wasi wasi na wakasahau kuwa bado ni wachache hivyo wakaumbuka na iliwauma sana wakirsto matokeo yake kusababisha wakirsto wakapigia wakirsto wenzao matokeo yake waislam wakaumbuka pamoja na kuwa walikuwa ndio waanzilishi wa propaganda za udini matokeo yake wakaumbuka
   
 16. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #16
  May 14, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Acha UPUMBAVU wewe kura zilipigwa kidini vipi kwani pale ni kanisani,kwa mpango huu ukiwa kama kijana sidhani kama utafika mbali na hiyo kete ya udini
   
 17. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #17
  May 14, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  kulingana na source yangu ni kuwa kijana alikuwa anapigwa tafu na Ridhiwani Kikwete ndo maana wakamuangusha kwa kishindo. Hii ni ishara nzuri kwa mabadiliko tz.
   
 18. M

  Muadhin Member

  #18
  May 15, 2011
  Joined: Jan 30, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi sitokutukana sababu hujui umeumbwa duniani kwa malengo gani! unajitia mkurgenzi huo ukurugenzi kakupa nani?mara asali mkurugenzi mara wewe mbona hueleweki? unao uthibitisho kuwa asali kawaita waislamu wenziwe waje kuchukua fomu? kama unao uweke hadharani ii uone ulimwengu utakavokuona punguani.eti walibandika matangazo.huo ndio ujanja wenu mkiona mshaelemewa mnajidai kuandika nakala halafu mnasingizia waislamu.hizo nakala na mauzauza yenu yote tunayo kama uthibitisho tena yanafika rim nzima.baada ya kufanya ya maana muonekane kama wasomi mnaacha kazi zenu na kufanya mambo ambayo hata kichaa angeona bora kuokota makopo.yani mnachekesha ile mbaya mmeandika nakala eti waislamu twendeni tuapige kura chini yake mkajidai kugezea kuandika hati za kiarabu ili waonekane waislamu ndio walioandika na wachochezi wa amani!Tafuteni ujanja mwengine kwa huo mmechemsha.na inakuuma kukwambia chadema wamepewa hela.jamaa wamekutosa nini,hawajakupa hata buku!pole mjomba kwa kazi isiyo na matunda.umebakia ktk JF kuwachafua waislamu! tafuta kazi ya kufanya walau kushona viatu kuliko kupoteza muda wako.
   
 19. M

  MJUKUU WA MKULI New Member

  #19
  May 15, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii Dhambi mliyoifanya itawatafuna mmoja mmoja huyo Debora tangu lini ana uwezo wa kuongoza? Ni mawili ataongozewa chuo Na Boyfriend wake au ataongozewa chuo na Kanisa pia choo mlichoingia ni cha watoto Kwani DEBORA Na Teresia wote ni Makada wa CCM
  HEBU ACHENI USENGE NYIE NA hivi Hamjui kuwa debora ni kada na teresia ni kada msiwe km mnabanduliwa nani asiyejua kuwa Singo alilala na pengo st gaspa?
  WE SOURCE YAKO UMEITOA WAPI? Husein kuwa ccm haina maana bashe ni ccm.
  Kutokana na ufinyu wa fikra zenu eti mmeamua kupigia jina badala ya uwezo wa m2.
  Hivi hamkua mkijua kama ridhwan ndo alikuwa anamsapoti Tobiasi?
  Hebu weka ushahidi kama unao kuonesha uhusiano wa abuu na ccm pia na ridhwan n uhusiano na rostam azizi?
  Msiwe mnaongea kufuata mkumbo mie namjua bashe vzr na huyo debora ni clas mate wangu so.
  2ACHE UDINI
   
 20. njoro

  njoro Senior Member

  #20
  May 17, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :mod: UDINI ULIOETWA NA JK NDO HUOOOOOOOOOOOOOOOOOO
   
Loading...