Anafaa sana tena. Amefanya kwa kiasi kikubwa, let give him another term to finish his plans! Tuache mambo ya uroho! Mpe muda amalizie kazi aliyoianza.Hutaki angalia muda na saa naandika sijawahi kosea ninachoandika saa sita mpaka saba usiku
Najua wengine wanajua wanashiriki kupambana na Malinzi na lengo haswa wawepo kwenye zile kamati zao
Napenda kuwahakikishia katika wote hakuna wa kupambana na Mh. Jamal Malinzi
Makamu wa Rais - Michael Wambura
Narudia sijawahi kosea muda kama huu. Unikumbushe baada ya uchaguzi
Akikaa sana hapo TFF patageuka Kagera Stars...unafikiri huko Dawasco kukoje?Hakuna kama Jamal Malinzi
Anafaa sana tena. Amefanya kwa kiasi kikubwa, let give him another term to finish his plans! Tuache mambo ya uroho! Mpe muda amalizie kazi aliyoianza.
Teacher can teach but students refuse to learn! kwa msenmo huo amejitahidi sana, kama umenielewa.
Nani Ana shida kati yangu na yako?SHIDA ZAKO ZA OFISINI MSITULETEE HUMU
Huyo akiwa Makamu wa Rais TFF, Malinzi atajuta kuzaliwa BongoKAMA NAUONAAA ULE USIKU UJAOOO
RAIIIS WA TFF NIIIIIII......JAMAAAAL MALINZI
MAKAMUU WAKE NI MICHAEEEEL WAMBURAAA
MTANIAMBIAAA WAPWA ....UKITAKA NIWEKEE NAWAJUMBE NAWAWEKEA HAPAA
Wewe utakuwa nshomileHutaki angalia muda na saa naandika sijawahi kosea ninachoandika saa sita mpaka saba usiku
Najua wengine wanajua wanashiriki kupambana na Malinzi na lengo haswa wawepo kwenye zile kamati zao
Napenda kuwahakikishia katika wote hakuna wa kupambana na Mh. Jamal Malinzi
Makamu wa Rais - Michael Wambura
Narudia sijawahi kosea muda kama huu. Unikumbushe baada ya uchaguzi
Mkuu, wapo Simba wengine wazuri tu. Huyo aliwahi kuwa Katibu Mkuu wa muda FAT. Tena alipewa na Kapuya.Tunataka maendeleo mkuu atuangalii usimba na yangaa kamwe