johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,149
Ilikuwa mibovu sana!Wakati UKAWA inachukua majimbo na Halmashauri za Dar mwaka 2015,miundombinu ya Dar ilikuwaje?
Ilikuwa mibovu sana!
Wakati UKAWA inachukua majimbo na Halmashauri karibu zote za Dar mwaka 2015,miundombinu ya Dar ilikuwaje?
Hukumbuki hata mabasi ya mwendokasi yalizinduliwa miezi miwili kama sio mmoja kabla ya tarehe ya kupiga kura?
Watanzania hawataishi kwa kutegemea miundombinu ya awamu ya tano, bali kwa kila neno litokalo kwa wapinzani.
Mkuu una roho ngumu kama ya paka; yaani bado unadiriki kuandika na kutaja UKAWA? Ningekuelewa kama ungesa marehemu UKAWA badala ya kuiandika kavukavu hivyo utadhani ni kitu ambacho kipo!!Wakati UKAWA inachukua majimbo na Halmashauri karibu zote za Dar mwaka 2015,miundombinu ya Dar ilikuwaje?
Hukumbuki hata mabasi ya mwendokasi yalizinduliwa miezi miwili kama sio mmoja kabla ya tarehe ya kupiga kura?
Watanzania hawatapumbazwa na miundombinu ya awamu ya tano, bali watafanywa werevu na kila neno litokalo kwa wapinzani japo hatutarajii uchaguzi ulio huru na wa haki hasa katika awamu hii.
Hahahaa....... Rip UKAWA!Mkuu una roho ngumu kama ya paka; yaani bado unadiriki kuandika na kutaja UKAWA? Ningekuelewa kama ungesa marehemu UKAWA badala ya kuiandika kavukavu hivyo utadhani ni kitu ambacho kipo!!
Wakati UKAWA inachukua majimbo na Halmashauri karibu zote za Dar mwaka 2015,miundombinu ya Dar ilikuwaje?
Hukumbuki hata mabasi ya mwendokasi yalizinduliwa miezi miwili kama sio mmoja kabla ya tarehe ya kupiga kura?
Watanzania hawatapumbazwa na miundombinu ya awamu ya tano, bali watafanywa werevu na kila neno litokalo kwa wapinzani japo hatutarajii uchaguzi ulio huru na wa haki hasa katika awamu hii.
Huu uchaguzi ni rahisi sana maana naamini 30% ya wenyesifa za kupiga kura ndio watakao jitokeza. Uchaguzi Tanzania hauna maana na Wanasiasa hawaaminiki.Kila ninapowaangalia hawa makatibu tawala wa wilaya na jukumu la kusimamia uchaguzi lililopo mbele yao kwa kweli nawaonea huruma.
Nawafahamu maDAS kadhaa ambao ni makada wa CCM na wengi wao waligombea ubunge na kushindwa ama kwenye kura za maoni au uchaguzi mkuu.
Hakika zoezi lililopo mbele yao ni Zito, sema nawaombea tu kwa Mungu ili kwa msaada wake ushindi upatikane.
Kwa hapa Dsm hakuna tatizo kwani ubora wa miundombinu na Huduma za jamii ni kampeni tosha kwa CCM sidhani kama wapinzani wataambulia mtaa hata mmoja.
Maendeleo hayana vyama!
cc: Tatamadiba
Rekebisha Kauli...Madas wote ni makada wa ChamaKila ninapowaangalia hawa makatibu tawala wa wilaya na jukumu la kusimamia uchaguzi lililopo mbele yao kwa kweli nawaonea huruma.
Nawafahamu maDAS kadhaa ambao ni makada wa CCM na wengi wao waligombea ubunge na kushindwa ama kwenye kura za maoni au uchaguzi mkuu.
Hakika zoezi lililopo mbele yao ni Zito, sema nawaombea tu kwa Mungu ili kwa msaada wake ushindi upatikane.
Kwa hapa Dsm hakuna tatizo kwani ubora wa miundombinu na Huduma za jamii ni kampeni tosha kwa CCM sidhani kama wapinzani wataambulia mtaa hata mmoja.
Maendeleo hayana vyama!
cc: Tatamadiba
Una UMAKU kwa kiwango flaniMkuu una roho ngumu kama ya paka; yaani bado unadiriki kuandika na kutaja UKAWA? Ningekuelewa kama ungesa marehemu UKAWA badala ya kuiandika kavukavu hivyo utadhani ni kitu ambacho kipo!!
Kwasasa hali ya ukawa DAR ipoje?Wakati UKAWA inachukua majimbo na Halmashauri karibu zote za Dar mwaka 2015,miundombinu ya Dar ilikuwaje?
Hukumbuki hata mabasi ya mwendokasi yalizinduliwa miezi miwili kama sio mmoja kabla ya tarehe ya kupiga kura?
Watanzania hawatapumbazwa na miundombinu ya awamu ya tano, bali watafanywa werevu na kila neno litokalo kwa wapinzani japo hatutarajii uchaguzi ulio huru na wa haki hasa katika awamu hii.
Ndio nini? Au unanipa sifa kwa kuwa jana uliniona wakati natoka chumbani kwa mama yako asubuhi?Una UMAKU kwa kiwango flani
Ndio maana nimekwambia una UMAKU... Maana niliwachungulia anakuingizia mamidoli mndukuniNdio nini? Au unanipa sifa kwa kuwa jana uliniona wakati natoka chumbani kwa mama yako asubuhi?
Naunga mkono hoja hakuna haja kupiga kuraWala msipoteze muda, tuna kampeni nzito ya kuhakikisha watu wanaojitambua hawajitokezi kupiga kura kwenye huo ushenzi wa mtu mweusi. Ikibidi simamisheni hata wabunge na madiwani wa ccm wasimamie huo uchaguzi, lakini hakuna mtu atashiriki mechi iliyopangwa matokeo na akaishia kupata kilema kwa uratibu wa jeshi la polisi. Ushiriki uchafuzi ambai hata uhayawani ukifanyika ukienda mahakamani, mahakama inaogopa kutoa haki eti itasababisha mgogoro. Goli liko wazi fungeni tu wazee wetu.
OkkkHahahaa....... Rip UKAWA!