Uchaguzi Serikali za mitaa ni mtihani mgumu kwa maDAS ambao wengi wao ni makada wenye kuutamani ubunge

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,754
139,571
Kila ninapowaangalia hawa makatibu tawala wa wilaya na jukumu la kusimamia uchaguzi lililopo mbele yao kwa kweli nawaonea huruma.

Nawafahamu maDAS kadhaa ambao ni makada wa CCM na wengi wao waligombea ubunge na kushindwa ama kwenye kura za maoni au uchaguzi mkuu.

Hakika zoezi lililopo mbele yao ni Zito, sema nawaombea tu kwa Mungu ili kwa msaada wake ushindi upatikane.

Kwa hapa Dsm hakuna tatizo kwani ubora wa miundombinu na Huduma za jamii ni kampeni tosha kwa CCM sidhani kama wapinzani wataambulia mtaa hata mmoja.

Maendeleo hayana vyama!

cc: Tatamadiba
 
Wakati UKAWA inachukua majimbo na Halmashauri karibu zote za Dar mwaka 2015,miundombinu ya Dar ilikuwaje?

Hukumbuki hata mabasi ya mwendokasi yalizinduliwa miezi miwili kama sio mmoja kabla ya tarehe ya kupiga kura?

Watanzania hawatapumbazwa na miundombinu ya awamu ya tano, bali watafanywa werevu na kila neno litokalo kwa wapinzani japo hatutarajii uchaguzi ulio huru na wa haki hasa katika awamu hii.
 
Wala msipoteze muda, tuna kampeni nzito ya kuhakikisha watu wanaojitambua hawajitokezi kupiga kura kwenye huo ushenzi wa mtu mweusi. Ikibidi simamisheni hata wabunge na madiwani wa ccm wasimamie huo uchaguzi, lakini hakuna mtu atashiriki mechi iliyopangwa matokeo na akaishia kupata kilema kwa uratibu wa jeshi la polisi. Ushiriki uchafuzi ambai hata uhayawani ukifanyika ukienda mahakamani, mahakama inaogopa kutoa haki eti itasababisha mgogoro. Goli liko wazi fungeni tu wazee wetu.
 
Watanzania hawataishi kwa kutegemea miundombinu ya awamu ya tano, bali kwa kila neno litokalo kwa wapinzani.

Endelea kuota.
 
Wakati UKAWA inachukua majimbo na Halmashauri karibu zote za Dar mwaka 2015,miundombinu ya Dar ilikuwaje?

Hukumbuki hata mabasi ya mwendokasi yalizinduliwa miezi miwili kama sio mmoja kabla ya tarehe ya kupiga kura?

Watanzania hawatapumbazwa na miundombinu ya awamu ya tano, bali watafanywa werevu na kila neno litokalo kwa wapinzani japo hatutarajii uchaguzi ulio huru na wa haki hasa katika awamu hii.
Mkuu una roho ngumu kama ya paka; yaani bado unadiriki kuandika na kutaja UKAWA? Ningekuelewa kama ungesa marehemu UKAWA badala ya kuiandika kavukavu hivyo utadhani ni kitu ambacho kipo!!
 
Hahahaa....... Rip UKAWA!
 
Hawamu hii watu wananyonga halafu wanaenda kanisani kuabudu utafikiri ni waumini kweli!! Pathetic!!!
 
Kila ninapowaangalia hawa makatibu tawala wa wilaya na jukumu la kusimamia uchaguzi lililopo mbele yao kwa kweli nawaonea huruma.

Nawafahamu maDAS kadhaa ambao ni makada wa CCM na wengi wao waligombea ubunge na kushindwa ama kwenye kura za maoni au uchaguzi mkuu.

Hakika zoezi lililopo mbele yao ni Zito, sema nawaombea tu kwa Mungu ili kwa msaada wake ushindi upatikane.

Kwa hapa Dsm hakuna tatizo kwani ubora wa miundombinu na Huduma za jamii ni kampeni tosha kwa CCM sidhani kama wapinzani wataambulia mtaa hata mmoja.

Maendeleo hayana vyama!

cc: Tatamadiba
Huu uchaguzi ni rahisi sana maana naamini 30% ya wenyesifa za kupiga kura ndio watakao jitokeza. Uchaguzi Tanzania hauna maana na Wanasiasa hawaaminiki.
 
Kila ninapowaangalia hawa makatibu tawala wa wilaya na jukumu la kusimamia uchaguzi lililopo mbele yao kwa kweli nawaonea huruma.

Nawafahamu maDAS kadhaa ambao ni makada wa CCM na wengi wao waligombea ubunge na kushindwa ama kwenye kura za maoni au uchaguzi mkuu.

Hakika zoezi lililopo mbele yao ni Zito, sema nawaombea tu kwa Mungu ili kwa msaada wake ushindi upatikane.

Kwa hapa Dsm hakuna tatizo kwani ubora wa miundombinu na Huduma za jamii ni kampeni tosha kwa CCM sidhani kama wapinzani wataambulia mtaa hata mmoja.

Maendeleo hayana vyama!

cc: Tatamadiba
Rekebisha Kauli...Madas wote ni makada wa Chama
 
Mkuu una roho ngumu kama ya paka; yaani bado unadiriki kuandika na kutaja UKAWA? Ningekuelewa kama ungesa marehemu UKAWA badala ya kuiandika kavukavu hivyo utadhani ni kitu ambacho kipo!!
Una UMAKU kwa kiwango flani
 
Wakati UKAWA inachukua majimbo na Halmashauri karibu zote za Dar mwaka 2015,miundombinu ya Dar ilikuwaje?

Hukumbuki hata mabasi ya mwendokasi yalizinduliwa miezi miwili kama sio mmoja kabla ya tarehe ya kupiga kura?

Watanzania hawatapumbazwa na miundombinu ya awamu ya tano, bali watafanywa werevu na kila neno litokalo kwa wapinzani japo hatutarajii uchaguzi ulio huru na wa haki hasa katika awamu hii.
Kwasasa hali ya ukawa DAR ipoje?
 
Wala msipoteze muda, tuna kampeni nzito ya kuhakikisha watu wanaojitambua hawajitokezi kupiga kura kwenye huo ushenzi wa mtu mweusi. Ikibidi simamisheni hata wabunge na madiwani wa ccm wasimamie huo uchaguzi, lakini hakuna mtu atashiriki mechi iliyopangwa matokeo na akaishia kupata kilema kwa uratibu wa jeshi la polisi. Ushiriki uchafuzi ambai hata uhayawani ukifanyika ukienda mahakamani, mahakama inaogopa kutoa haki eti itasababisha mgogoro. Goli liko wazi fungeni tu wazee wetu.
Naunga mkono hoja hakuna haja kupiga kura
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom