johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,780
- 141,667
Kila ninapowaangalia hawa makatibu tawala wa wilaya na jukumu la kusimamia uchaguzi lililopo mbele yao kwa kweli nawaonea huruma.
Nawafahamu maDAS kadhaa ambao ni makada wa CCM na wengi wao waligombea ubunge na kushindwa ama kwenye kura za maoni au uchaguzi mkuu.
Hakika zoezi lililopo mbele yao ni Zito, sema nawaombea tu kwa Mungu ili kwa msaada wake ushindi upatikane.
Kwa hapa Dsm hakuna tatizo kwani ubora wa miundombinu na Huduma za jamii ni kampeni tosha kwa CCM sidhani kama wapinzani wataambulia mtaa hata mmoja.
Maendeleo hayana vyama!
cc: Tatamadiba