Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

Magazetini

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
588
1,698
Habari wakuu,

Kama tunavyofahamu leo tarehe 14 Desemba 2014 ni siku ya upigaji kura kwa ajili ya kuwapata viongozi wetu kwa ngazi ya serikali za mitaa Tanzania Bara, Muda si mrefu tutaingia kwenye awamu ya pili ya utangazaji matokeo baada upigaji kura, tutasaidiana hapa kukusanya matokeo kadri yanavyotolewa.

Kuanzia leo saa 10:15 alasiri matokeo yanaanza kutangazwa kwa sehemu ambazo wagombea wamepita bila kupingwa na tutaendelea na sehemu ambazo uhesabuji wa kura umekamilika.

====================
=




MOROGORO MJINI: Mtaa wa Kiswanya "A" : CCM kura 115 CHADEMA kura 112.


Magu Mjini: CHADEMA mitaa 10, CCM mitaa 7
 

Attachments

  • matokeo.jpg
    54 KB · Views: 73,721
Magamba Qushney kazi yao iliyobaki ni mapingamizi.

 
uchaguzi huu CCM watakao shangilia hila walizofanya watakuwa wenda wazimu kama yule aliyesema maandalizi ya uchaguzi ni mazuri kumbe ni hadaa tu za kibwege kama yeye mwenyewe alivyo -----
 
kama sio mafindofindo uchaguzi ungetupa highlights za 2015 hata hivyo tutatathmini huko ulikofanyika huko usikofanyika hatuwezi kutathmini
 
He! analia!!?
kweli kumbe kuna ulaji!!
enzi zile za mchonga, angelia!?? watu walikuwa wanang'ang'anizwa kuchukua uongozi kwa nguvu lakini walikuwa wanakataa!! leo hii wanalia!!!? mh!!
Kuna kitu kinautwa political entrepreneurship mtu anawekeza mtaji kwenye siasa ndo mambo unayoona
 
Kutoka Ikungi jimbo la Singida mashariki ccm hawatapata hata 20%
Ukawa inasomba kuanzia vijiji na vitongoji.
Kuanzia saa 11 nitawapa matokeo halisi
Safi sana, msisitizo: anza na hapo ikungi mjini, upande mahambe nyumbani kwa kina njau na Lissu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…