Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,779
Tunafanya uchaguzi kupima na kuona ni kwa kiasi gani upinzani upo ma unakubalika/haukubaliki.
Pia tunafanya uchaguzi kuchagua wabunge.
Raisi tunaye na tunamjua.
Huwezi kupima uwezo wa bondia "anaepigana" huku mpinzani wake akiwa amefungwa kamba miguuni na mikononi.
Embu search Mada zangu zinazohusu uchaguzi labda utapata ajili kidogonaona akili zinaanza kukurudi. waambie mimi na familia yangu sitanyanyua mguu kuenda kupiga kura uchaguzi wa serikali za mtaa wala ule mkuu wa mwakani.
Haya uliyoandika Watanzania wanayaelewa sana. Ndiyo maana wameamua kutuma ujumbe kwa watawala kuwa maneno na matendo yao hayakubaliki katika nchi ya kidemokrasia. Wamewaachia uchaguzi wao ili wafanye comedy yao ya uchaguzi wenyewe.
ni mpumbavu tu awezaye kutofautisha siasa na maeneleoMimi si muumini wa demokrasia halikadhalika Mimi si muumini wa udikteta.
Baada ya kujifanyia tathmin nikajigundua mimi ni muumini wa MAENDELEO na UZALENDO.
Mimi si muumini wa demokrasia halikadhalika Mimi si muumini wa udikteta.
Baada ya kujifanyia tathmin nikajigundua mimi ni muumini wa MAENDELEO na UZALENDO.
hakuna sababu. lakini ukweli ni kuwa umekuwa ukishadadia utawala huu unaominya demokrasia na sasa na ajabu wanapita mitandaoni wakitumia wakuu wa wilaya na wakuu wa nini sijuwi kuhimiza watu wajiandikishe. uzandiki. sijiandikishi na kura sipigi.Embu search Mada zangu zinazohusu uchaguzi labda utapata ajili kidogo
AiseeeUchaguzi au Uchaguzwiii?
Sijawahi kuona Maana ya Uchaguzi kama kamati kuu pale dodoma watu 2000 tu wanaamua kura za watanzania 50,000,000 ?
Mbaya zaid mwaka 2026 Rais ajaye ataamuliwa na mtu mmoja tu Mwenye Vinasaba vya nchi jiran
Kwa hiyo ushauri wako ni upi katika namna ya kuwapata watu wa kusaidia kufanikisha hayo.Mimi si muumini wa demokrasia halikadhalika Mimi si muumini wa udikteta.
Baada ya kujifanyia tathmin nikajigundua mimi ni muumini wa MAENDELEO na UZALENDO.
hakuna sababu. lakini ukweli ni kuwa umekuwa ukishadadia utawala huu unaominya demokrasia na sasa na ajabu wanapita mitandaoni wakitumia wakuu wa wilaya na wakuu wa nini sijuwi kuhimiza watu wajiandikishe. uzandiki. sijiandikishi na kura sipigi.
Kwa hiyo ushauri wako ni upi katika namna ya kuwapata watu wa kusaidia kufanikisha hayo.
Haya uliyoandika Watanzania wanayaelewa sana. Ndiyo maana wameamua kutuma ujumbe kwa watawala kuwa maneno na matendo yao hayakubaliki katika nchi ya kidemokrasia. Wamewaachia uchaguzi wao ili wafanye comedy yao ya uchaguzi wenyewe.
Kwa bongoland uchaguzi wa haki bado sana. Kiukweli sioni haja ya kujiandikisha zaidi ya kupata kitambulisho kwa ajili ya shughuli zenye kuhitaji uwepo wa kitambulisho, ila si kwa kupiga kura.