Uchaguzi ndani ya CHADEMA lini?

Bange za kuvutia chooni mbaya ....!!suala la uchaguzi linaihusu chadema,na tunazungatia sana utawala bora that's why uki mess up adhabu yako ni kukutimua tu,hata tutaposhikilia dola,ukituhumiwa out na mashitaka juu,ukiwa fisadi tunakuchinja na msumeno wa mbao,ukiwa drug dealer au Jangili kama magamba tunakufilisi na kukunyonga pia kama mhujumu uchumi,Watu kama Azam,kinana ,EL,Mwigulu etc CDM ikishika tu nchi nyie adhabu yenu ndogo ni ICC kwa kesi za uhaini

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
loss of sight, vision and plans among youth of Tanzania leads to miserable lifestyle

trust me, simiyu yetu can never practice fair politics in her life

you are a disgraced and desperate ccm member
 
Chadema inawenyewe hatuwezi kumpa mtu uongozi tusiyemfahamu kuweni makini na hili jambo tunaweza kupoteza chama chetu mikononi mwa watu tusiowajua.....mzee mtei.

Lipo wazi ilo Hata MACCM wanajua kuwa CCM inawenyewe, Huwezi kukurupuka from no where na kuja kugombania UongoZi, Ni lazima watu wajilidhishe kuhusu Historia yako.
 
Mi muuwaji wa Tembo wetu na mfadhili wa Alshabab. Lakini cha ajabu bado sisi ni bora ni Katibu wa Magamba. Kinana Rudi Kwenu Somalia
Kwa mtu mzima kuwa na hoja kama za mfu unashindwa kuelewa upo kwenye mada gani mkuu rudi kwenye mada.
 
Lipo wazi ilo Hata MACCM wanajua kuwa CCM inawenyewe, Huwezi kukurupuka from no where na kuja kugombania UongoZi, Ni lazima watu wajilidhishe kuhusu Historia yako.
Mkuu maneno yale yalimlenga Zitto Zuberi kabwe kweli Zitto hafahamiki ndani ya CHADEMA au kunani CHADEMA.
 
Nenda kwenye neno ufisadi kwani mzee slaa alivyochota pesa za chama na zile kanisa na kugoma kulipa siyo ufisadi?
 
Mh. Mbowe na Dr. Slaa ni Prof. Ibrahim Lipumba wengine. Hawa watu hawana tofauti yeyote na maDictator.

Hata kina Hitler, Musolin na Idd Amin walisema wanapendwa na wananchi wao kama hawa kina Dr. Slaa na Mh. Mbowe wanavyotaka kutuaminisha.
Umenena kweli mkuu halafu wanajiita wapigania haki za watu kumbe wao ni madikteta.
 
Mi muuwaji wa Tembo wetu na mfadhili wa Alshabab. Lakini cha ajabu bado sisi ni bora ni Katibu wa Magamba. Kinana Rudi Kwenu Somalia
Kudos Ex-Rev.
Nimeipenda hii!!
 
Nenda kwenye neno ufisadi kwani mzee slaa alivyochota pesa za chama na zile kanisa na kugoma kulipa siyo ufisadi?
Sasa ndo umedhihirisha your true colors! Nilidhani unahoja, kumbe unachuki binafsi. Tchao
 
Unaweza kuthibitisha hapa kuwa ni9na nia hiyo?Ni wapi nilipotangaza?

Usinihusishe kwenye hisia zako
 
Mkuu maneno yale yalimlenga zitto zuberi kabwe kweli zitto hafahamikimndani ya chadema au kunani chadema.

ndugu yangu mipango inaendelea pamoja na maanfalizi ya huo uchahuzi hivyo hakuna atakayevunja katiba ya chama. na zaidi nikuelimushe mleta thred kuwa chadema ni taasisi na ciyo malu ya mtu mmoja.
 
Mi muuwaji wa Tembo wetu na mfadhili wa Alshabab. Lakini cha ajabu bado sisi ni bora ni Katibu wa Magamba. Kinana Rudi Kwenu Somalia

Hivi kwa nini Kinana kama katibu mkuu wa Chama kinachoongoza serikali amekuwa bubu kabisa juu ya suala la Westgate nchini Kenya!?? tumueleweje ukizingatia ameshatajwa mara nyingi humu kuwa ni uzao wa Al shabaab.!??
 
Haya ni maneno yenye uchungu sana, hawa watu humu ndani hawawezi kuyakubalikwa mdomo wao, watabisha na kukataa, ushangae, wamechanganyikiwa huwa wanapingana na kanuni ambazo zinawatetea wao ili kulinda aibu ya Wakubwa zao, Kumbuka Sugu kavunja kanuni na amefanya Makosa Slaa akaenda kumtetea huko Mbeya, Kama alifanya jambo la maana si angeachwa ili wananchi waamue(japo haikusaidia)

Ben Saanane hata iweje unatakiwa kukumbuka kuwa Mzee Mtei alipoanzisha KAMPUNI YAKE-chadema hakuingia ubia na baba yako, maamuzi yake yatabaki kuwa ndio msingi wenu kwani anamiliki share kubwa.

Hicho ni Chama cha Wajasiliamali Uchaguzi sio Kipaumbele.
 
Naona umeamua kuvuka daraja kabla hujalifikia

Mkuu kuna members humu wasipoandika CHADEMA-MBOWE-SLAA hawalali. Hawa watu wangejadili kwanini watoto wanasomea chini, hospitali hazina dawa after 52 ya uhuru?
 
ndugu yangu mipango inaendelea pamoja na maanfalizi ya huo uchahuzi hivyo hakuna atakayevunja katiba ya chama. na zaidi nikuelimushe mleta thred kuwa chadema ni taasisi na ciyo malu ya mtu mmoja.

Yaani hawa ndio M-great Thinker na Think Tank ya Chadema?
Kama wewe ndie unaandaa uchaguzi na kuilinda katiba unaandika hivi basi kumbe hamna nia ya kufanya huo uchaguzi na katiba yenu ina makengeza tu.

Rudi shule unaabisha wenzio na ID za kutengenezewa hivi kwenye kata yako hakuna shule ya sekondari.
 
Wale ni wajasiriamali wa kisiasa, na chadema ni NGO yao
 
Unaweza kuthibitisha hapa kuwa ni9na nia hiyo?Ni wapi nilipotangaza?

Usinihusishe kwenye hisia zako
Pole kaka naona unajikakamua lakini ROHO inakuuma.
Ukweli ndio huo, Demokrasia ndani ya chama chenu hakuna.
Unaweza ukakataa hapa jukwaani kwa maandishi lakini hata mwandiko wako unadhihirisha kuwa una uchungu mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…